mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Hata naivasha imejAa......hawa wa2 washamba kweliHot air balloon si kitu ya kuonyesha mkenya. Hizo zimejaa Masai Mara na Amboseli na kwingineko
Siku zote mtu mpumbavu anadhani kila mtu ni mpumbavu kama yeye, Ninyi si ndiyo mliodanganywa na viongozi wenu kwamba Kenya haina umeme wa kutosha kuweza kujenga reli ya umeme, ghafla tu mliposikia Tanzania inajenga electrical railway mkabadilika kwamba na nyinyi mtaweka umeme baada ya miaka mitatu, kwani hamkulijua hilo kwamba baada ya miaka mitatu mtakuwa na umeme wa kutosha, kwanini msingeweka miundo mbinu ya umeme kabisa?
Kama kweli baada ya miaka mitatu mtakuwa na umeme wa kutosha, kwanini reli ya Nairobi kwenda Naivasha ambayo ujenzi wake utachukua miaka mitatu toka sasa wasijenge umeme kabisa wanaendelea kujenga ya Diesel?, ninyi kila kitu kwenu hakiwezikani hadi Tanzania ikifanya ndiyo mnaiga, mlishasema kwamba Tanzania ni LDC haiwezi kujenga electrical, mlipogundua imewezekana mnaamisha goli mnasema haiwezi bullet trains, mjinga mkubwa wewe, hii siyo Kenya, acha kulinganisha Tanzania na uchafu unaoitwa Kunya.
Yenu ni ndoto na itabaki kuwa ndoto. umeme mliyo nayo saa hii haifikii hata robo ya kiwachongo cha umeme unaokatikana kuendesha bullet trains. that one aside, you Don't even have the technology to build and run it. Stick to your lanes brothers, don't be overambitious. Bullet train si mkate unaenda dukani unanunua na kupewa change. kama ni hivyo, zingejaa Europe saa hiiSiku zote mtu mpumbavu anadhani kila mtu ni mpumbavu kama yeye, Ninyi si ndiyo mliodanganywa na viongozi wenu kwamba Kenya haina umeme wa kutosha kuweza kujenga reli ya umeme, ghafla tu mliposikia Tanzania inajenga electrical railway mkabadilika kwamba na nyinyi mtaweka umeme baada ya miaka mitatu, kwani hamkulijua hilo kwamba baada ya miaka mitatu mtakuwa na umeme wa kutosha, kwanini msingeweka miundo mbinu ya umeme kabisa?
Kama kweli baada ya miaka mitatu mtakuwa na umeme wa kutosha, kwanini reli ya Nairobi kwenda Naivasha ambayo ujenzi wake utachukua miaka mitatu toka sasa wasijenge umeme kabisa wanaendelea kujenga ya Diesel?, ninyi kila kitu kwenu hakiwezikani hadi Tanzania ikifanya ndiyo mnaiga, mlishasema kwamba Tanzania ni LDC haiwezi kujenga electrical, mlipogundua imewezekana mnaamisha goli mnasema haiwezi bullet trains, mjinga mkubwa wewe, hii siyo Kenya, acha kulinganisha Tanzania na uchafu unaoitwa Kunya.
haha ata tanzania ni kubwa kwa land size but gdp is less than kenyas by 25 b usd na kenya ni 65% desertSerengeti ni 30,000 sqr km Belgium 30,528
Hivi unadhani Serengeti ni cha mtoto?
View attachment 643718
Usiifananishe Serengeti na mambo ya kijinga.
I have shares in KCB bank and they just built a tower in Upper Hill. So pesa tangu imetumika pale kujenga lile jumba. Swali Ingine please?
niwai race course sasaHot Air Balloon - Serengeti
parastatals are owned by the government period!!!!!!!!!!Most buildings in Dar es Salaam or Tanzania belongs to Parastatals like Nssf, PPF, GEP, PSPF which most Tanzanians Contribute every month. So these Towers are built by Tanzanian.
Tanzania building their own Cities and Country.
Sasa we ngonjera za kumiliki share KCB, Mi mwenyewe nina shares KCB Kwa hiyo Mtanzania anawasaidia kujenga Tower zenu pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya GDP unasadikiwa kuwa ni kubwa kidogo lakini Population under poverty line ni 46%haha ata tanzania ni kubwa kwa land size but gdp is less than kenyas by 25 b usd na kenya ni 65% desert
gdp ya kenya ni kubwa kushinda yenu ye mo na shamba kubwa,no desert,minerals ...SHAME ON YOU!!!!!!!!!!!!!!!!Kenya GDP unasadikiwa kuwa ni kubwa kidogo lakini Population under poverty line ni 46%
UNICEF - Overview - Kenya at a Glance
HAH benefits the elite na politicians aibu sanaAnd Goverment owned by the citizens period!!!!!!
Hayo ni maneno ya mtu aliyekata tamaa baada ya kuona yeye ameshindwa anajaribu kuhakikisha na wengine wanashindwa ili asionekane mzembe. Jambo moja ufahamu ni kwamba uwezo wa wakenya wengi wa kufikiria mambo kwa undani ni mdogo sana, huwa miradi yenu mingi imeanzishwa bila utafiti wa kutosha, kinachotokea ni kwamba miradi inatumia pesa nyingi na economically inapoteza maana, sasa hivi nchi yenu ipo katika matatizo makubwa ya madeni.Yenu ni ndoto na itabaki kuwa ndoto. umeme mliyo nayo saa hii haifikii hata robo ya kiwachongo cha umeme unaokatikana kuendesha bullet trains. that one aside, you Don't even have the technology to build and run it. Stick to your lanes brothers, don't be overambitious. Bullet train si mkate unaenda dukani unanunua na kupewa change. kama ni hivyo, zingejaa Europe saa hii
Public Debt inakula GDP yenu. 60% of Kenya GDP inatumika kulipa denigdp ya kenya ni kubwa kushinda yenu ye mo na shamba kubwa,no desert,minerals ...SHAME ON YOU!!!!!!!!!!!!!!!!
What is your understanding of the word 'developer' or 'investor'? nijibu hilo kwanza kabla hatujaendelea.
Acheni kujitia umajununi wakati hamna ndala miguuni, mwenzenu anasema Kenya inatumia 'developer' wakati sisi tunatumia 'government' sasa hamuoni kunatatizo la uelewa hapo?