Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With no single industry. Yani hii eneo has no economical benefit to the country.
We kweli msenge.
Arusha ndiko kunachimbwa the only gemstone found in Tanzania TANZANITE,pia kuna migodi ya dhahabu na vito vingine kama sapphire na ruby.
Pia kuna utalii mwingi unaofanyika huko.
Bimaana mapato ya madini na sekta ya utalii yanapatikana Arusha.
Utasemaje hakuna economic benefit!?
Usisahau zao la vanilla na ngano hufanyika pia huko Arusha.
 
Usitudanganye fala wewe.
Kwani hatukuona speed yake ilivyo ndogo katika video zake!?
Mbona hata SGR yetu inapita maeneo ya wanyama na mapori mazuri na MILIMA MIZURI YA ULUGURU MOUNTAINS AMBAYO KAMWE HUWEZI IKUTA KENYA!?
Pia reli yetu inazunguka kuliko hata yenu.
Msilete kisingizio treni yenu haina ufanisi hata kidogo.
Nunueni treni yenye ufanisi.
Spidi inayotumia hilo guruguja lenu ni sawa na treni yetu ya diesel inayotembea katika reli ya MGR.
 
Ulinzi star ni timu ya jeshi we matako sio timu ya mtu binafsi.
JESHI NI MALI YA SERIKALI.
AU ULINZI NI MERCENARIES!?
Au siku hizi kuna majeshi ya mtu binafsi!?
So kama ni timu ya jeshi hairuhusiwi kumiliki Stadium? You are reasoning like a baboonπŸ˜‚πŸ˜‚
 
World event ipi unazungumzia!?
Ya Mpira ama ipi?
Naona ushaanza kuhama,maana tunazungumzia ubora na uzuri wa uwanja wa mpira hapa.
Nimekuuliza kama Makwapa washaihost any world event?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Makwapa iko na indoor Arena?
Makwapa iko na aquatic Stadium?
 
Kwa ufala wako jeshi inapata wapi pesa ya kumiliki timu kama sio mapato ya jeshi ambayo ndio mapato ya serikali?Chanzo cha mapato kinatoka wapi?
So kama ni timu ya jeshi hairuhusiwi kumiliki Stadium? You are reasoning like a baboonπŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona we ni fala hivi aiseee!?πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Gap gani na trains za Kenya arw faster than za Tanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚
Lete proof.
Maana naskia kwa 400+kms mnatembea masaa 6.
Ilhali yetu kwa majaribio ya 500 kms ilitembea kwa masaa matatu na dakika 40.
Je ipi ipo faster!?
Na hiyo ni electric lokomotive bado EMU ambayo inao uwezo wa kutembea mpaka 200+km/hr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…