Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa haitaandaa AFCON, katika hisoria ya huo mchezo viwanja Kama amaan ni vya mazoezi😅
Haitandaa na haitaweza kuandaa mpaka kiyama and u know why?? Maji Tu shida na iko pembeni ya ocean 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dah! yani mungu atupe uzima 2027 aibu hii itakua kimataifa
Nyinyi hamtoandaa afcon hata iweje, sisi tushajipanga, tutakuwa na afcon bora na infrastructures bora za kunogesha kama electrified SGR, nyie mna nn kipya? Tena huku kwetu michuano itanoga kuliko michuano yoyote iliyowahi kufanyika ukitoa ya SA.
 
Unalia ukiwa wapi?😂😂

 
Mkataba wa mwaka mwaka, $1m kila mwaka kutegemea na mazingira yatakuwaje Azam katoa pesa taslimu $7.6M na mkileta ujinga atawaacha na ligi lenu bovu🤣🤣🤣🤣🤣
Siku Azam itafikia KBC njoo tuongee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…