Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea ni.kaa mudevelop.lkn nyinyi 2 ni .mayai
Muhimu ufahamu kuwa kuna maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu, kama akili bado ni za kizamani au bado ni kama za wanyama, haisaidii sana kumvalisha nguo nzuri mnyama, ataijaza kinyesi kwa sababu hajastaarabika.

Jaribuni kubadilika, acheni ukabila, acheni kuuana hovyo kama wanyama wa porini, pendaneni muwe kitu kimoja, jaribuni kupunguza mivutano ya kutaka kuigawa nchi yenu..
 
Believe me....there's no other town in Tz apart from Dar that can even match Nakuru........watapinga kama Kawaida yao but that's the truth.Tanzanians overely so much on government to get something done
Ndiyo faida ya uchumi wa kijamaa serikali inakua na nguvu ya kudhibiti uchumi usikamatwe na watu wachache kama kwenu huko, ardhi yote imekamatwa na matajiri, 62% ya GDP yenu ipo mikononi mwa watu 8300 pekee, 52% ya bajeti yenu kwa mwaka inalipa wages ya 2% ya wakenya..bure kabisa, uchumi gani huo?
 
Urban city area ndio kinachoongelewa, tuliza akili
Shenzy type.....haya mambo tumeishi kukuambia kuwa eneo la Nairobi lililojengeka yani (metro) ni kubwa kuliko dar lakini umeishi kupinga kishabiki lakini sasa umeelewa
 
i Mombasa ones even look better


Sasa........kwani....dar. Kuna nn msa hakuna.......

Sasa........kwani....dar. Kuna nn msa hakuna.......
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cc73b2980984fd5564
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/8f6730cc7e30a2c76d1ef065dbc66a48.jpgec3c4935c4670b.jpg[/IMG]
Sasa........kwani....dar. Kuna nn msa hakuna.......
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/cc73b2980984fd5564
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/8f6730cc7e30a2c76d1ef065dbc66a48.jpgec3c4935c4670b.jpg[/IMG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…