Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikiwa Kenya hakuna hio Uganda utapata wapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila wachina kiboko πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ


View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?s=19
Narudia kukwambia official howo truck assembly plant iko Tanzania 40units a day KAZI kwako SASA uumie au ukubaliane na ukweli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Their official X account
 
Ndio mkajenga stadium ikiwa Trapezium. Hivi wewe hujui kitu huitwa average Speed!? Muda wote na wa mapumziko upo hapo. Train husimama, Mariakani, Miesenyi, Voi, Mtito Andei, Emali, Kibwezi, Athi River kabla Kufika Nairobi. Kwa hali tu ya kuwafurahisha wasafiri. Kama sio watu wa kutafuta Likes, SGR Kenya imekubaliwa na wengi ambao wamesafiria 9.5 out of 10

Hata kama ni wewe ungetaka mbio za nini mahala kama hapa!?
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    7.4 KB · Views: 20
ATCL says the plane was taken for mandatory maintenance in Nov 2023 SASA nashangaa MTU anauliza swali na kila kitu kipo clear πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
View attachment 2987276
2018, Grounded for 7 months in 2023!? After being bought at what??? No wonder shirika lipo kwenye mwendo wa Hasara!!
 
Hio stadium ina standard na technology zote ambazo hakuna hata stadium yenu moja inayo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na inatambulika na CAF

View: https://twitter.com/CoachCalito/status/1680864781849305089?t=ESYoHp3yukQaHI-5RtPnog&s=19
View: https://twitter.com/kinjeketile/status/1596942931411496961?t=-idEhiGQ3qJ5qg1qdMEzeQ&s=19


Eti average speed faida yake ni nn SASA?? Ikiwa haina economic reason haina tofaut na bus mashcool au tahmeed πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwani aliekwambia Tanzania hautasimama kwenye kila kituo ni Nani ?? SGR gani ambayo mpaka Leo haijawah kuzalisha faida inatafuna pesa za taxpayer's na madeni kila Kona ya mchina, alikubali SGR yenu mchunguzeni vzr kuna fuse moja imekata Moto πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Elon Musk akianza hizo zake pia alichekelewa tu hivo. Sahi kidogo ataland on Mars
Wacha kutuletea story za abunwasi pesa za kulipa madaktari hamuna, pesa za kuondoa watu kwenye slums watu wanaishi kama nguruwe pia hamuna itakua mambo ya rocket πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kama ni ndoto basi amka uende chooni ukakojoe
 
2018, Grounded for 7 months in 2023!? After being bought at what??? No wonder shirika lipo kwenye mwendo wa Hasara!!
Kashaeleza ni mandatory maintenance hapo bado unataka nn?? Zilienda mbili mbona moja ilirudi na inapiga kazi, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Munajipa presha za bure
 
Kuna moja ilishikwa sijui ni SA ama wapi kwa miezi. Nadhani wakulima wahuko walikua na shughuli nayo!? Ama vipi. Kuna vipindi huko Bongo kweli!! πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘Œ
Waliachia after 2 days kwani huna habariπŸ˜…πŸ˜…
 
Wewe hayo ukayatoa wapi!? Kwa CCM ama!?
 
Wacha kutuletea story za abunwasi pesa za kulipa madaktari hamuna, pesa za kuondoa watu kwenye slums watu wanaishi kama nguruwe pia hamuna itakua mambo ya rocket πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kama ni ndoto basi amka uende chooni ukakojoe
Kukojoa ntakojoa lakini ujue, muda tutawauzia Nakuja 10.1 Missiles. Made in Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…