Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyan hapo umewamaliza
 
Angalia numbers za slum dwellers then nambie ipi ni the biggest slum in the world.
 
🀣 🀣 🀣

Wewe ni huyu?...

Uwe unasalimia Watu kijana,

Sasa inakuwaje unaita Watanzania ni maskini?

You know some people humu can give you a very decent job
I can feed you pamoja with your entire linage.
 
Narudia kukwambia official howo truck assembly plant iko Tanzania 40units a day KAZI kwako SASA uumie au ukubaliane na ukweli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Endelea kusoma SASA kwann unaishia hapo juu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Umia Tu ndio furaha yangu
View attachment 2987149
Capacity and actual is different. The capacity is 40 per day lakini uwezo wao ni lory mbili kwa sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

JNIA has a capacity of 8M but only handles 1.5 M passengers, ama umesahau hiyo pia?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Capacity and actual is different. The capacity is 40 per day lakini uwezo wao ni lory mbili kwa sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

JNIA has a capacity of 8M but only handles 1.5 M passengers, ama umesahau hiyo pia?πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2987151
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Full article
 
According to this, first truck was assembled in March. From March to May is 2 months and within those 2 months wameunganisha 150 trucks. Meaning wanaunganisha lory mbili kwa sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani wewe kichaa mtu akisoma comment anakuona kichaa haswaa, kwnn unapenda kujifariji kwenye hamna namna hii, zile zama zenu mlizokuwa mnaichafua Tanzania alafu watanzania wamekaa kimya zishapita, learn how to live with time, now kuna watanzania wenye exposure kuliko wakenya, usipoteze muda wako kizembe hivii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…