Huezani na AVA.Body za kusukumwa na vitoroli kwenye banda la kuku sio? Ndo assembly line ya AVA? Sisi waswahili husema kutangulia sio kufika!!!!😃 😃
Workshop ya Hanspaul Arusha
Wheel alignment indeed😂😂hivyo ni vitu vya wheel alignment mzee wacha upumbavu!
Huezani na AVA.hivyo ni vitu vya wheel alignment mzee wacha upumbavu!
Hii picha sio AVA!
Hapa ni wapi kama sio AVA?😂😂😂hivyo ni vitu vya wheel alignment mzee wacha upumbavu!
Hii picha sio AVA!
Hii kitu kama hii ipo pale Urafiki. Shell ya Lake Oil. Usitufanye wajinga
Ebu tuonyeshe😂😂Hii kitu kama hii ipo pale Urafiki. Shell ya Lake Oil. Usitufanye wajinga
😀😀😀Sawa kaka korogwe sehem gani?
Maana mie nipo Mashewa Muheza jumatatu naingia Bumbuli kuvuna maji mekundu(mercury).
Kama unataka kuamini kuwa Pamoja na kuwa na Trucks nyingi na viwanda vya magari kujengwa kila siku. Jaribu leo kutafuta Lori kusafirisha mzigo mkubwa. Ninakuhakikishia huwezi kupataUnajua Mining Industry kwa sasa Tanzania ni kubwa mno. Tukija kwenye construction ni kubwa mno.
Nilienda kweny kutembelea migodi ya makaa ya mawe. Kuna uhitaji wa Trucks mkubwa mno. Nina uhakika hata hiyo 70% bado ni ndogo. Nadhani 100% yatakuwa yanauzwa hapa hapa nchini.
Bado soko la Migodi ya Burundi, Congo na Zambia.
Itabidi waongeze uzalishaji japo magari 150 kwa siku.
What About my housing evidence, mbona uliignore na sijalalamika.You asked for proof and source and I did prove and provided the source didn't I?.....and there's no source called Google. If you have a brain cell you should know that.
Sijapinga. Wewe nimekupea evidence na bado unapinga. Hadi unaingiza matusi, you're always reasonable until you get cornered then you become just stupid like the likes of Mgonjwa Matapiko.What About my housing evidence, mbona uliignore na sijalalamika.
Sasa weka na picha za truck assembly plant kama hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huezani na AVA.
Proton Saga Assembly line.
View attachment 2986550
View attachment 2986553
View attachment 2986554
View attachment 2986560
Shida yao huwa Moja, huwa wanalinganisha viwanja za Kenya zote na Benjamin Mkapa.🤣Wamekuwa wakicheka Machakos Stadium kumbe kwao ni worse. Uzuri Machakos Stadium iko na Stands and Shades, hii yao ni shamba proper😂😂😂
View: https://x.com/PabloYende/status/1783180157932421133