SA uwanja zao modern hazina running track kama izo takataka za west Africa.
Unawatch ball ukiwa 1km far!!!
Kuwa serious bro uwanja kuwa na running track hauondoi sababu ya kuwa na modernity.SA uwanja zao modern hazina running track kama izo takataka za west Africa.
Unawatch ball ukiwa 1km far!!!
Kuwa na running track ni kuonesha tu multipurpose ya uwanja.
1km bro!!?kuwa serious!!