Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inachukua watazamaji 10,000 na SASA expansion inafanyika kufikisha 20,000

Na CAF wanaitambua na ina standard zote za kimataifa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Standards zote za kimataifa wakati vilaza wananyeshewa na kupigwa na jua wakitazama mpira ๐Ÿ˜‚
 
Tizama pitch SASA ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… utasema majaruba ya mpunga alaf munawatukana CAF nyinyi munafkiri CAF ni wajinga Sana
View attachment 2982488
Bongolala, huo uwanja Iko na paa all round sio kama lile zizi lenu tena inapatikana mbali sana na Nairobi. And this is how the pitch looks like currently

Azam is a child's play kulinganisha na Dandora stadium. If it's about the pitch, this is Dandora stadi pitch. Sasa linganisha na Ile kituko chenu you call a complex
 
Unatuonesha dandora stadium ya 3000 capacity ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hvi kwann nyinyi hua hamuko serious kwenye mambo yenu, kila kitu kwenu ni fake kwann?? Aliewaroga ni Nani kondoo nyinyi
 
Hahaha eti naumia nacheka Sana siku hzi mumegeuka kua comedians humu ndani๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Munajenga uchafu gani hio alaf CAF ikiwanyima approval munaanza matusi
Huo uchafu inakukosesha usingizi unatamani tu kurudi kwenu Yemen
 
Unatuonesha dandora stadium ya 3000 capacity ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hvi kwann nyinyi hua hamuko serious kwenye mambo yenu, kila kitu kwenu ni fake kwann?? Aliewaroga ni Nani kondoo nyinyi
What is fake about Dandora stadium?

Wewe utaacha kuwa desperate lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ