Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeuliza who ranked Tanzania number one? Ama mmejirank wenyewe?
Uhalisia unaongea.


Sina haja ya kuongea, unajua kwa Tanzania bus stand inavyokaa hapo, sasa tuambie EA and Central ni nchi ipi inacompete nasi kwenye miundombinu ya usafirishaji na ubora wa bus (kama nakuona unavyoleta hoja ya eti chinese bus vyuma vyote on route ni mpya).
 
One irzar? We fala umemsahau Mkombe Luxury au?

Eti original, tuwekee hizo zote more than 6. Tushachoka more more more alafu kwa ground.

View attachment 2981345
Wewe umepost picha za Country bus buses. Kuna mabasi za ofisi.

Mash Poa alone has 5 with Modern Coast having 3 Scania Touring original.







Modern Coast has 3

 

Attachments

  • 1714909952645.jpeg
    174.3 KB · Views: 19
  • 1714909802639.jpeg
    226.8 KB · Views: 23
These are not long distance buses. Mbona unajaribu kudivert attention? These town service buses.
 
Fleet ambayo nzima hazizidi hata 10 yote yaliyobaki makarai na hizo nzuri nzuri ruti moja tu ya kishua. Kwingine ni Nganyaaaa.
Yani hizi hasira zote ni because of Scania Touring buses?😂😂

 
Chinese buses zinazeeka haraka kuliko Kenyan Fabricated buses and that’s why the likes of Uganda and Eastern DRC loves Kenyan buses.
Nani alikudamganya bus za Chinese zipo toka number B zaidi ya miaka 10+, eti Uganda and DRC loves Chinese bus wakat zipi bus za classic zinatoka Congo kuja Tanzania na ni Chinese bus. Na sijawahi kuona bus tofaut na Chinese 🤣🤣

View: https://www.instagram.com/p/CthB0U5NolQ/?igsh=MW5lcWtzbzRkeDIyOQ==
View: https://www.instagram.com/p/CtRp-C3th72/?igsh=MjEzanplMjY0bnYz
View: https://www.instagram.com/p/CrqkIostJfm/?igsh=dzdud21yYWh2eHk4
 
One irzar? We fala umemsahau Mkombe Luxury au?

Eti original, tuwekee hizo zote more than 6. Tushachoka more more more alafu kwa ground.

View attachment 2981345
Amekuomesha zote bus za kutoka Uganda plate number za Uganda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kenya kakosa SASA ameamua kuomba msaada Uganda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…