Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkoa wa Songwe TanRoads wanajenga underpass ambayo itakuwa na maduka kabisa huko ground πŸ”₯πŸ”₯
Under pass yenye maduka .? πŸ˜‚πŸ˜‚ anyways underground shopping is common in kariakoo. Almost majengo yote mapya utapata yako na under ground shops
 
Unajue unabishana na mbuzi kazi aliyokuwa anafanya ni supermarket hana anacho kijua
 
Under pass yenye maduka .? πŸ˜‚πŸ˜‚ anyways underground shopping is common in kariakoo. Almost majengo yote mapya utapata yako na under ground shops
Ndio hiyo Sasa ,ni underpass na itakuwa na frame kabisa ,kama hutaki subiria ikamilike nitakuletea picha
 
Hapo CAF kuna walaji wa Mlungula ajab. Yani hiki kidude kiwe approved na Namboole, Nakivubo, Amahoro, Nyayo zisiwe approved? Hapa kuna corruption ajabu. Kumbuka hata pale FIFA kumekuwa na cases za corruption nyingi sana alafu hiyo Azam inamilikiwa na mtu binafsi. Hapo kutoa mlungula ni rahisi sana.
Lakini ilifikia aje hadi such a stadium ikuwe approved by CAF???... Teargas , NairobiWalker Kujeni hapa kwa kikao..

View attachment 2978871
 
Lakini ilifikia aje hadi such a stadium ikuwe approved by CAF???... Teargas , NairobiWalker Kujeni hapa kwa kikao..

View attachment 2978871
Hii ni moja ya mechi imechezwa Jana chamanzi na imeisha Saa nne na nusu usiku
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View: https://youtu.be/lfdilvhOIMU?si=0Hm7p-hiGo8w4NGZ
View: https://youtu.be/dDjZrWCGaD4?si=39R9xRhnyziJdoEQ
View: https://youtube.com/shorts/Nb797M72lko?si=MoqCkP7vuBC2zm2L
View: https://twitter.com/YoungAfricansEN/status/1785938788046299622?t=7wrkoNZPmb_9DBdvhVtqfQ&s=19
 
Naona unajipendekeza na rejesta za bongo. 🀣🀣
 
CAF IS just piece of shit...corrupt to the core
Kwann Nyayo stadium inafanyiwa renovation mara ya pili ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Unajua sababu lakini

Jengeni vitu kwa quality na standards sio munajenga kwa mihemko Tu ya kisiasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Naoma hii forum imekusaidia sana kwenye kiswahili 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…