Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona ulivyo fala.
Kama haina ithibati ya CAF je kwanini mechi za CAF zinachezwa!?
Naomba hilo jibu hapa.
Azam complex wanao uwanja wa mazoezi.
 
JKIA tuu sehemu nyeti inakosa umeme ndio mtakuwa nao kwenye leisure?
So issue imetoka from Kenyan stadiums hazina lights to now JKIA kukosa umeme? Kweli mko desperate πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ona ulivyo fala.
Kama haina ithibati ya CAF je kwanini mechi za CAF zinachezwa!?
Naomba hilo jibu hapa.
Azam complex wanao uwanja wa mazoezi.
Hata Nyayo pia huhost CAF matchesπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hio report from CAF viwanja vyote vinavotambulika na CAF na viwili vinatoka Tanzania kama hutaki acha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Endelea kuumia Tu ndio furaha yetu
Hiyo list ya viwanja vyote in Africa. Kama unapinga basi weka link sisi sote tusome πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…