1. Quality ya pitch sio bora nyasi kama Nyayo.Nimesikia Kunguru moja akisema ati Nyayo Stadium has no lights.
Ebu tuonyeshe FIFA standards za Azamππ
CAF Standard πππ
View attachment 2978315
Kenyan Standards
View attachment 2978317
You have lights but your lighting system haijakidhi vigezo vya CAF na FIFASijui ni nani aliaminisha hawa watanzania that Kenyan stadiums have no lights and canβt host night eventsππ
Kati ya hvi viwanja viwili CAF inatambua uwanja gani ???πππππππNimesikia Kunguru moja akisema ati Nyayo Stadium has no lights.
Ebu tuonyeshe FIFA standards za Azamππ
CAF Standard πππ
View attachment 2978315
Kenyan Standards
View attachment 2978317
πππππππ Hupendi kuskia
Standard haziangalii viti Tu inaangaliwa pitch ina standard gani?? Je mvua ikinyesha inakua bahari au pitch iko modern kunyonywa maji ndio maana Azam complex ina kila aina ya standards πππCAF Standard Vs Non CAF Standard πππ
CAF Standard with no seatsππ
View attachment 2978326
Non CAF Standard have foldable seatsπ
View attachment 2978325
Hao ni wajinga achana naoπKusema ukweli Hawa CAF wana corruption kiplani. Huwezi niambia zizi la ng'ombe kama Azam lina hadhi kuliko Nyayo wakati hata Dandora halifikii. Pale Ug Namboole na Nakivubo wamerenovate wameweka viti ila bado wananyimwa approval. Hapa Kuna mtu akula mlungula.
View attachment 2978366
CAF standard indeedππππππππππ Hupendi kuskia
Pitch ya Nyayo is far much better than Azam grazing fieldππStandard haziangalii viti Tu inaangaliwa pitch ina standard gani?? Je mvua ikinyesha inakua bahari au pitch iko modern kunyonywa maji ndio maana Azam complex ina kila aina ya standards πππ
Hakuna kitu Azam inakaribia Nyayo in all those things you have mentioned ππ1. Quality ya pitch sio bora nyasi kama Nyayo.
2. Changing rooms specifications
3. VAR capability
4. Electronic billboards
5. Quality of lighting system
6. Etc
Tena wanazoa maji ya flood na Dump truck ( ambalo wakati anajaza nusu yanarudi alipochota na akitembea hatua mbili yote yanarudi alipochota mwingine anachota na Excavator anamwaga pembeniπ Yaani ili mradi aonekane mtu yupo kazini, Busy for nothing πππ nilidhani nimeona kila kitu mpaka Nilipoona wakundustan wanajaza maji kwenye tengaπππAibu Kubwa sana Aibu kubwa sana. Na hakuna watu linawauma na kuwaaibisha kama wale waliokua wanalisifia na kucompare na vya wengine.
Ni Huzuni sana.
Na kiangalia hapo kuna matatizo mengi, uongozi mbovu (Tumeambiwa wana demokrasia na katiba bora), uwanja mbovu (Tumeambiwa ni state of art), shida ya umeme (Tumeambiwa nchi haina shida ya umeme sema ila hadi International Airport for goodness sake Lango la kuingilia kila mtu wa taifa liko giza ziiiii).
So Inauma asikwambie mtu.
Fedheha.
Hebu ntajie standards wanazotaka CAF alaf unambie kwann Nyayo haina CAF standards πCAF standard indeedπππView attachment 2978376
CAF Standard indeed πππHebu ntajie standards wanazotaka CAF alaf unambie kwann Nyayo haina CAF standards π
Soma hzi standards ujue kwann Nyayo haina sifa za CAF kondoo weweππππππAti of all the three stadiums only Azam ndio iko na CAF Standardsπππ
Nakivubo Stadium Uganda.
View attachment 2978379
Nyayo Stadium Kenya
View attachment 2978381
Azam CAF Standard Stadium ππ
View attachment 2978382
πππππππAzam CAF Standard πππ
View attachment 2978392
Kasarani Non CAF Standard
View attachment 2978393
Soma hzi standards ujue kwann Nyayo haina sifa za CAF kondoo weweππππππ
Nimemsikia zwazwa anasema CAF wanakila rushwa, ili wale rushwa na ww utimize wajibu wako
CAF ICC GROUP STAGE STADIUM REQUIREMENTS Section 1
Kasarani yenyewe SASA πππππAzam CAF Standard πππ
View attachment 2978392
Kasarani Non CAF Standard
View attachment 2978393
Kama kasarani ni Bora kwann munafanya renovation?? Acheni hvo hvo SASA ππππAzam CAF Standard πππ
View attachment 2978392
Kasarani Non CAF Standard
View attachment 2978393