Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh hivi hawa wanasemeshana kweli 🤔

View attachment 2976232
Infact mimi ninamkubali sana Kipara January Makamba.Ni ambaye hana uchawa wa aina yoyote,anajiamini kuliko maelezo na anafanya kazi bila matangazo wala promo yoyote

Kuna voice ilinaswa akimteta Magu,Magu alimwambia amuombe msamaha ila kijana akamchenjia na ata Mama alimuhamisha pale Nishati kwa sababu jamaa hataki kuimba sifa za kusifu na kuabudu
 
Chupa ya soda kibandani ama kwenye kibanda sio kwa kibanda.
Kwa hutumika kwenye nomino za viumbe hai sio vitu kima wewe.
Kwani lazima wakenya wazungumze Kiswahili same na ya Tanzania? USA and UK are using different English words and all are correct.

By the way have you learned how to write Locomotives? Have you also learned the difference between MU and Locomotives?
 
Unahamisha magoli?
Katika kiingereza kunajulikana kuna british english and American english na vyote ni sahihi ila wewe umeenda kinyume kabisa na muundo wa lugha.
Yani unafanya matumizi mabovu ya muundo wa lugha makalio wewe.

Umeshajifunza lokomotives ni nini!?
Au bado unashikilia bango kuwa MU sio aina ya lokomotive!?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…