Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww na mm anaejua umbali wa dar dodoma ni Nani??🀣🀣🀣🀣🀣

Unaumia kuskia dar to Dom ni 3hrs 🀣🀣🀣
Your government knows better πŸ˜‚πŸ˜‚

Dar to Dodoma is 452km
 
Nimekwambia overall yote pamoja na kupishania treni ni 722km SASA kwann ikatae sio over 500km 🀣🀣🀣🀣🀣

Unaumia nn kuambiwa dar to Moro ni 3hrs
Unajua kuliko serikali ya Tanzania wenye wanasema ni 452km?πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Nilikwambia hvi

Dar to Moro 300km including njia za kupishania

Moro to Dom ni 422km including njia ya kupishania

Haya kaza fuvu SASA 🀣🀣🀣🀣🀣
Kati yako Serikali ya Tanzania tuamini nani?

 
Hivi umesoma hayo maelezo vizuri??
Hayo maelezo hayaelezei total distance ya Dar to Dom kuwa ni 400+kms.
Nakuomba rudia kusoma tena.
Kusoma pia hujui? Then you need prayerπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…