Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

La hasha hio ndio amsterdam...maswali ya kipumbavu ndugu.....
Nashangaa kumbe kamji ka mombasa ni kadogo hivyo. Halafu unajikunja kweli basi ngoja nianze kukugonga kidogo kidogo na Ugunguja - Zanzibar

Pwahahahaha naona Mwanza umeogopa kuleta...unaona utaibika...ati mji wenu wa pili...duh!!!maajabu haya
 
Mwanza ipo juu ya Mombasa. Hakuna ubishi. Mwanza inaifukuzia Nairobi.
 
unajua kila mtu anaweza kupayuka payuka...leta picha zizungumze...sio ujinga wako hapa...kula hii kwanza ushibe...mji wa Mombasa...mji wa pili....mji wenu wa pili naskia ni Mwanza...pwahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…