Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wengi wetu tulijua kwa jirani kuna derby wakati Azam anaonesha derby ya Kariakoo akaipa promo derby yenu.
Bongolala, Gor vs Leopards has been a stormy affair since time immemorial. Imekuwa ikijaa hata kabla hiyo Azam yenu ijulikane popote

These are pictures from Kasarani stadium of yesteryears during Gor vs Leopards matches
 
English is a colonial language
We learn like French Chinese and so many languages so English is you're origin language
Aliekuambia kiswahili asili yake ni Africa ni nani? Do you even know the history of this language you take do much pride in?
 
Nyayo wakat juzi Tu pesa kibao zimeteketea hapo na hakuna kitu kinaonekana 🀣🀣🀣
Ati hakuna kitu kinaonekana? How many stadiums in Tanzania have 30,000 seats? Ama wewe huoni viti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…