Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,657
Any Kunyaland team on the list please 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C55fCfFK7cs/?igsh=b3ZmYXU1ZGw1ZDNl
Nyang'au wanachukia wakiona hivyo, ha ha ha😎
Any Kunyaland team on the list please 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C55fCfFK7cs/?igsh=b3ZmYXU1ZGw1ZDNl
Sasa muhindi atakuaje muarabu while these are two different races?Ni sawa na ulize kwa hiyo muhindi sio muarabu 😁😁😁 Kunyaland elimu yenu ya hovyo kweli
A tiny percentage?Sasa nani ana double standards? Hapo kwenu utajiri umeshikiliwa na Waarabu na Wahindi - mnawaita Watanzania kisa wana uraia, huku kwetu a very tiny percentage of our land imemilikiwa na Raia wenye asili ya Kizungu, mnasema sio Wakenya. Huoni umejijibu swali lako la double standards?
Yes, a tiny percentage.A tiny percentage?
Alafu hao wahindi na waarabu eti wanamiliki utajiri wetu, kwani wakiyumba kuna kitakachoharibika si wanakua replaced.
Kipindi cha Magufuli unajua ni wahindi na waarabu wangapi walikula msoto sana.
Hadi huyo Mo. Still we was not affected?
Chandaria ni mzungu?😎...huku kwetu a very tiny percentage of our land imemilikiwa na Raia wenye asili ya Kizungu,..
Wezi wa national anthem watakwambia SA ndo iliwacopy
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1780853402957660625?t=TaHjlrEF2ESHEnn8jL7Vdw&s=19
Wezi wa national anthem watakwambia SA ndo iliwacopy
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1780853402957660625?t=TaHjlrEF2ESHEnn8jL7Vdw&s=19
Yemen walipata Uhuru lini?Nchi gani ilianza kupata Uhuru hapo na nchi gani iliwasaidia kupata Uhuru wao hzo nchi ulizoweka 😂😂😂😂 akili kichwani, kasome history Alaf kuja hapa ng'ombe hii
Any Kunyaland team on the list please 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C55fCfFK7cs/?igsh=b3ZmYXU1ZGw1ZDNl
Naona nyumba za tope hapo mbele kidogo 😂😂Mombasa
![]()