1m us dollar millionaire ππππππ wakat huku kuna MTU ana 1.8b USD mzeee hapo bado kina rostam na hata hawajulikani ila kaweza kuekeza Kenya 200m USD ambayo hamujawa pata toka nimepata Uhuru
Kabisa mkuu sasa nhisi wasizisahau sana kuliko za abiria tushakuwa nazo sasa waanze na hizi za mizigo na pia melikubwa za mizigo za kwenda commoro na hizi meli za uvuvi za kina kirefu ziharakishwe mizigo itakuwa mingi sana. Serikali ya samia ikazie na iamshe tena hisia za watu kuhusu uzalendo na kupenda vya numbani na kukuza viwanda vya nyumbani watu wazalishe zaidi wapewe kipaumbele wajasiriamali wa nyumbani sana.Tanzania kuna potential sana, tena uchumi wetu unajibeba wenyewe, mi hata ndege nne za mizigo naona sawa tuu.
Imesha kua approved by CAF or FIFA let me know plz πππππ nimeskia ina capacity 4000 seats alaf ime cost 276m ksh ?? Nyinyi aliewaroga amekufa aiseeπThis Dandora Stadium is better than nearly all Stadiums in Tanzania
View attachment 2965600View attachment 2965601View attachment 2965603
Look at the entrance and compare with Mkapa's Entrance
View attachment 2965612View attachment 2965614View attachment 2965615
You aren't unfamiliar with a religious fanatic yourself. Remember that president who insisted you would pray away COVID epidemic?Naskia ana advert church yuko njiani kuanzisha kama mke wa Gachagua!
And yet FIFA na CAF wamekataa international matches hapo! Naskia hamna vyoo na changing rooms!This Dandora Stadium is better than nearly all Stadiums in Tanzania
View attachment 2965600View attachment 2965601View attachment 2965603
Look at the entrance and compare with Mkapa's Entrance
View attachment 2965612View attachment 2965614View attachment 2965615
Yani changing rooms ndio zinawafurisha vifua hivi? π€£ π€£And yet FIFA na CAF wamekataa international matches hapo! Naskia hamna vyoo na changing rooms!
Happy now bongolala?Ilikua kila siku tunaoneshwa daily dose tunashangaa hatuoneshwi tena na tumemis daily dose?? Hebu post current tuone π€£π€£π€£
frame za maduka zinaitwa stadium!This Dandora Stadium is better than nearly all Stadiums in Tanzania
View attachment 2965600View attachment 2965601View attachment 2965603
Look at the entrance and compare with Mkapa's Entrance
View attachment 2965612View attachment 2965614View attachment 2965615
Kitu kimegota! wapi zile bulldozers zikifanya kazi? Video ya one month ago...Happy now bongolala?View attachment 2965653View attachment 2965654
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Happy now bongolala?View attachment 2965653View attachment 2965654
Hatuchukui misaada, tunajenga kwa 'hera' zetuππlol....hatupendi marekani ππ
View attachment 2965700