Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha vijana wa Kenya wapige pesa. Huko kwenu mngekuwa na talanta pia mngefanya hivo. Hata mimi nikijipata kwa situation kama hiyo nipewe dola zangu kama milioni moja hivi ndio nimuachie Mchina ashinde siwezi kataa. Hili linaonyesha jinsi Kenya inavyoeshimika kiriadha - yani angekuwa ameshinda Mtanzania hakuna mwenye angeona kama kaongwa ila akimshinda Mkenya lazima kufanywe investigation.
 
Wapige pesa gani wanauza mpaka utu na heshma zao 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nilitaka musijue 🀣🀣🀣🀣 kumbe mushajua
Tuzo ni zetu. Tumewapea kitoken kama majirani maskini halafu mnarudi kujipiga vifua. Yani ombaomba urushiwe mfupa alafu uanze kuringia aliyekupa huo mfupa wakati kwake kumejaa minofu kwa friji.
 
Kati yako toilet boy na wao nani ana heshima zaidi?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Aibu kubwa Sana mumetia
 
Shida yako toilet boy umeosha choo hadi akili yako imekuwa mavi. Tuzo wameshinda wasanii wengi ila huku hatuna celebrations kama huko kwenu. Ina maana validation yetu ni kitu kubwa sana kwenu.
Ok tuzo zenu lakini washindi ni Sisi, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unajiskiaje hapo ongea usiogope plz
 
Kushinda medali ni aibu?
 
Washindi wengi ni wetu ila kwenu hilo tuzo ni la maana sana ndio maana mnapiga kelele.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mungepeana basi hzo tuzo kwann mutupe Sisi kama hatujawazidi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…