Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Azam Chamanzi complex bado kuna watu hawaelewi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Pitch yake iko approved na FIFA
Ina VAR room
Ina hostels za kisasa
Ina swimming pool kwa ajili ya wachezaji
Ina administration block za kisasa
Ina sehemu za ibada ikiwepo msikiti mkubwa
Ina changing room za kisasa ziko approved na FIFA
Ina playing ground za watoto kucheza
Ina mabango ya LED za kisasa ambazo Kenya hakuna na hutoipta πŸ˜…πŸ˜… na Tanzania ziko kwenye viwanja vitatu na cha nne Arusha kinakuja

 
Ila swala la frequency kwa BRT usiku liangaliwe
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View: https://twitter.com/Kibegi_09/status/1692113634103542160?t=en1MRvc5EUMFXD8VbSZXCw&s=19
View: https://twitter.com/CoachCalito/status/1680864781849305089?t=63bSg6LEQqVGhokNTKfrAA&s=19
 
Yani hata alignment ya stands in right angles imewashinda.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani ni slum!!!
 
inawakilisha nini kwa mfano mzee wangu, wewe ni kenge maji ubalozi ama ardhi ya ubalozi ni nchi kamili ya sehemu inapowakilisha ndio maana unaona kuna mvutano kati ya irani na israel.
Wewe kenge, ni utamadumi balozi za nchi za kigeni kuwatakia kumbukizi ya sikukuu za wenyeji wao au kuwapa kongole kwa mafanikio yote waliyo nayo. Kitu cha kawaida sana. Yani kuwaona mkishabikia jambo la kawaida kama hili inamaanisha mna kiu sana cha validation kutoka kwa wazungu. Mkituita wazungu weusi inakuwanga projection maana ni nyie mnaowashobokea sana wazungu hata yule Mnaijeria alisema ukweli.

Tazama hizi ni the last tweet ya US Embassy in Kenya....................kwa hivo tuje hapa tujisifu juu ya vitu vya kawaida kama hivi? Wengine wenu huwa hamna exposure kabisa.


View: https://twitter.com/USEmbassyKenya/status/1779926716347031875
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…