Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Namungo, ulidhani tutakuacha hivi hivi πŸ˜ƒπŸ˜„
 
Tuliza mk*ndu bado cranes zinakua installed. Unadhani tulinunua cranes zishike samaki. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Unadhani STS gantry cranes zinatengenezwa na wiki moja ama? Enyewe wewe hua pumbavu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Unaweka cranes Kwenye bandari yenye ni haitegemei kupokea meli.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ . Ni nchi ya kitaahira tu ndio inaweza fanya huo upumbavu. Kwahyo mnategemea cranes kitaendelea kuota kutu hapo for how long.?
 
Mnaficha ficha video mnaleta vipicha baadhi!?
Damage hapo Negev imefanyika kubwa tu,na bahati yao Israel UK,US na Jordan walisaidia ku intercept hizo missiles na drones.
Isingekua msaada wa hayo mataifa Israel angekua analia sahizi kilio cha kwikwi.
Na USA kashasema hatoshiriki vita na Israel bali atailinda tu kama itashambuliwa tena ila sio kushiriki mashambulizi.
 
Unadhani STS gantry cranes zinatengenezwa na wiki moja ama? Enyewe wewe hua pumbavu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwann hamkutoa order before port kukamilika? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mulikua munasubiri nn

Mark my words Lamu port is a big white elephant in Africa not only in Kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Imebidii nisearch any game ilichezwa outside Makwapa Stadium yesterday and luckily nimepata na hii match ya Simba Vs IhefuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ebu angalia vile bench inafanana πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2963927
Ukiwaona wakijifanya kushangaa Machakos stadium uutadhani timu zao zinachezea Emirates.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…