KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Kihivi basi ata Eldoret ni kubwa kuliko MombasaKuna trend ya eldy vs mwanza go check
Haujui any.. Ubishi mtupuHahahah huna enhhππππ ningezaa na wewe leo unatuletea utani wa kipuuzi hapa
rudia hiyo kauli kua GDP is what??????Eldoret GDP ni bigger than Mwanza....Eldoret inaleta pesa za athletes millions ama billions kila mwaka,ni Kenya's food basket, iko katikati ya Kampala na Nairobi so a major export/import centre to/fro uganda
Ardhi wewe unayo? Ama niya serikali?ππππ Neno ardhi kwa mkenya yoyote ni sumu
Ndio maana kila mmoja anaweza afford wewe unayo ardhi ππππππ Mpaka unaingia kaburini utaota ardhiArdhi wewe unayo? Ama niya serikali?
Endelea kujitekenya braza lakini eld ilanaliwa na Morogoro kavuuEldoret GDP ni bigger than Mwanza....Eldoret inaleta pesa za athletes millions ama billions kila mwaka,ni Kenya's food basket, iko katikati ya Kampala na Nairobi so a major export/import centre to/fro uganda
Unaongelea mombasa yenye tower za kizaman tena zile za wahindi na waarabu au mombasa itaizidi mwanza kwa port tu na beachhahaha Ile mwanza yenu ndio mnapima na Mombasa....hahaha.anyway it's good for consolation......mwanza can rank 6th by Kenyan standards
Nasikia rais wao ndio milioneerOngeeni ila jua Tz kuna mabilioneer wawili. Kenya ata wa kusingiziwa hayupo
Uko na akili kweli?Kihivi basi ata Eldoret ni kubwa kuliko Mombasa
Maana mombasa hamna 19flr
Inshort baada ya hayo mawili
Utakutana na 9 probably then vingine vidwaf
Na apo ilo 19 na 15 ni compound moja
Tz ni unaingia mkataba na serikali kupata landArdhi wewe unayo? Ama niya serikali?
But shamba si yako...niya serikali ata settlers aanapewa 99 yrs...but wakenya wengine humiliki shamba na kuiuza wanavyo takaTz ni unaingia mkataba na serikali kupata land
Iko hivi
Ukiingia mkataba unapewa either 33yrs au 66yrs au 99yrs
Na ukijenga hyo sehem iyo ardhi haiwezi ikachukuliwa na kupewa mtu mwingine ilihali hauko weeling kuondoka, so unalipia tena ili uendelee kukaa pale,
Serikali itakulazim uondoke kama miundombinu ya jamii kama barabara au kupanua kiwanja cha ndege na apo serikali italazim kukulipa hella zaid ya thaman ya eneo hilo kwa mda uo (na si mda uliponunua)
YeahUko na akili kweli?
Settlers hapewi ardhi ni ya kwake mpaka kufa na ndio maana ardhi zote zilizo hot kenya zimeshikwa na wazungu na politiciansππππ wewe hangaika tu lakini ardhi utaiskia kwenye bombaBut shamba si yako...niya serikali ata settlers aanapewa 99 yrs...but wakenya wengine humiliki shamba na kuiuza wanavyo taka
ConfirmYeah
Wewe kwanza una shamba yako ama ya serikali?Settlers hapewi ardhi ni ya kwake mpaka kufa na ndio maana ardhi zote zilizo hot kenya zimeshikwa na wazungu na politiciansππππ wewe hangaika tu lakini ardhi utaiskia kwenye bomba
Mm nina nyumba kabisa nimejenga kigamboni wewe unayo ardhiπππππWewe kwanza una shamba yako ama ya serikali?
Eeh Mimi Nina shamba yangu wala siya serikali...sijui kurenew baada ya miaka 99Mm nina nyumba kabisa nimejenga kigamboni wewe unayo ardhiπππππ
ππππ Shamba utaliskia kwenye bombaEeh Mimi Nina shamba yangu wala siya serikali...sijui kurenew baada ya miaka 99
I wish you also responded this fast to our numerous requests asking you to show us aerial views of your residential areas in Dar. Ungekuwa kijana mzuri sana.unajua collo wewe ni kijana wa kikenya mjinga sana...pia mshamba sana.[emoji23]
at first when i saw your comment demanding us to show you "zip lining",i thought it's something like a big robotic machine made from a complicated modern technology.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
haki sikujua zip lining ni kitu gani...so I had to google it.[emoji23](ushamba nayo).[emoji23] [emoji23]
huwezi amini nilipogundya hiyo kitu unayo demand tukuomyeshe ni upuuzi tu fulani nimejikuta nakudharau mno.
nina hakika hata ndg zako wakenya watakudharau baada ya kusoma comment hii.
guys,this is zip lining which kolo-jinga is repeatedly and loudly demanding us to prove to him if it exists in Tanzania.pathetic.