Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww ukitaka kukubali znz ina hoteli nyingi 5star kuliko mji wowote Kenya anzisha battle ruksa πŸ˜‚πŸ˜‚

La pili znz inajenga masoko zaidi ya matatu na hili soko la kisasa linaitwa mwanakwerekweπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/-QJRiOUYkfo?si=YbeY0SgINUagPs3l
View: https://youtu.be/M0fnti6uaOA?si=qPMznNSHWU3MURjf
View: https://youtu.be/txW0SO2rPGo?si=ndrBkySFOWkGI_29
Narudia kukwambia znz ina modern and biggest international airport kuliko Mombasa

Terminal 1,2 & 3πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Kuna jengo la VIP linajengwa jipya kabisa znz international airportπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tafuta hospital ya kisasa na kubwa kama hzi hapo Mombasa ambayo ni public hospitalsπŸ‘‡πŸ‘‡ Abdullah mzee hopital

View: https://youtu.be/yQs_2Sc8Umg?si=Fv_IEzrmjGwlnHYp

Lumumba hospitalπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/RbKjjffWZTs?feature=shared



Manzi mmoja znzπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡




Naomba kukuuliza Mombasa ina maji salama manake mm sio mgeni Mombasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uko serious unataka kushindana na znz kwenye supply ya maji masafi na salama???

View: https://youtu.be/Tk0HsHnTi5c?si=W0nRg5O1nI0gXvtU
View: https://youtu.be/a8ctS65Hb-E?si=KTEHuM4Tg__TW4Yz
View: https://youtu.be/jHl0_Wcgv_k?si=-ToLqGSql5IShKj6
View: https://youtu.be/v-A77qABDPA?si=OEd8wFa3Tt7f83gx

Znz inatumika Luku mpaka meter za maji ambayo technology hio hata Nairobi haipo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡

View: https://youtu.be/b8N4uNESDC4?si=Css5hE5inS7RcHnp
 
 
So umeamua uibe render mpaka na picha yenyewe kutoka Angola Luanda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Hvi musipofanya hvi hua munakufa au inakuaje mm hua sielewi hua munashida gani kwenye vichwa vyenu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya nimesahihisha KAZI yako haya Rudisha picha za Luanda Angola πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mafala nyinyi dunia ya Leo unadanganya 2024 mtoto wa miaka 2 mjuaji kuliko mzee wa miaka 80, kondoo wewe
 
muulize kama Mombasa inalingana na Zanzibar mbona Afcon 2027 haitafanyika Mombasa?
 
Tazama render ya Buxton iko sawasawa na picha halisi hvo ndio hua munabebwa ufala Yani render ni kitu tofaut na uhalisia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ile Kenya munasafari ndefu Sana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ





Ukipata vitu kama hvi Mombasa nitag nifunge ACC SASA hvi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/prpfUY7iqIo?si=6N_OJExtDneJTCl9
View: https://youtu.be/TfVWLOx5awk?si=Yk5YmiYCoXL_OYUO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…