Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol you spelt bogus na haujafaint.......tanzania is an ldc and its citizens are slave to kenya..following everything that goes on in kenya....continue licking our asses dudes
Hahhah wakati ardhi imeshikwa na settlers yani hamuna ardhi na nchi ni yenu 😀😀😀😀 kama nini ambacho tanzania imewaiga nyie maana nyie ndio waguduzi wakila jambo😛😛😛 inaonekana scientists wote wametokea kenya
 
evidence..mwanza ata eldy haiwezi unataja mombasa acha ukuma
Si nyie ni maneno ya kitoto na mnapiga picha sana ndo maana
Kaa chini angalia mwanza inamajengo mangap na mwanza inayo mangap
Mombasa ni mji mzuri sawa ila sio wa kuiacha mwanza mbali
Apart from hottels hammfikii mwanza
Mombasa

Mwanza

Mnachojiona na ninachowapongeza ni kuwa mko mbele sana kimaendeleo ya kuwa exposed na kupigapiga picha mji
Akat sisi hatuko hvyo
 
Inavitu kama nn ??? Hebu tueleze sasa😀😀😀
shida ya Tanzanians ni serikali ndio inajaribu kejenga their towns....wananchi wenyewe hawana uwezo wa kudevelop their towns.......halafu their towns are not extensive.....watu wamekusanyika kama uyoga....na ka cbd na roundabout lazma ipachikwe even when not necessary.....Estates huko ni msamiati
 
hahaha Ile mwanza yenu ndio mnapima na Mombasa....hahaha.anyway it's good for consolation......mwanza can rank 6th by Kenyan standards
 
Aliekwambia nani??? Unapoongea jambo lazma uwe na uhakika nalo, nani atajenga estate wakat kila mtu anajenga nyumba yake ya ndoto yake, yani kutakua na faida gan ya estate wakat watu wanajenga nyumba zao wanazotaka... usifananishe kile mnachokula nyie na sisi tule hicho ndio maana hua makwambia hata sheria za ardhi kenya na tanzania ni tofaut sana
 
Hii nyumba imekosa fedha ya finishing?ni mwaka unaisha bado iko kama gofu [emoji23][emoji23]
 
Settlers wagani?????....watu wana ardhi na zinauzwa kila kukicha ...unless utuonyeshe settler babako mwenye ameshika
 
Kupika wewe ndio ulitupea mafuta ,kitungu na chumvi...uaituletee akili ndogo ndogo if ucant argue with facts shut the **** up
huna akili wewe niletee official link inayosema mombasa **** millionare 1000 na usipileta leo nazaa na wewe
 
Ongeeni ila jua Tz kuna mabilioneer wawili. Kenya ata wa kusingiziwa hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…