Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutoka mjini mwanza kwenda airport ni 10km
Kutoka mjini kwenda nyegezi bus terminal ni 12km
Kutoka mjini kwenda nyamongolo bus terminal ni 14km

Na hzo ni just infrastructures sio kua umeimaliza mwanza no way πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ebu tuonyeshe hizo sehemu sijui Nyamongolo zinakaa aje. Usiwe unataja tu majina ya vijiji na distance yake. Nimefika Mwanza na ukitoa city center huo mji ni vichekesho
 
What he'll do is, post pictures of mwanza airport and the bus terminus and he'll be finished. Nothing else to be seen
Nimeangalia hiyo Nyamhongolo kwa google maps, hamna barabara ya lami hata moja. Hapo utaambiwa ni mjini Mwanza ila Mtwapa ambapo ni mji umeshikana na Mombasa utaambiwa ni kilifi County.

 
Nimeangalia hiyo Nyamhongolo kwa google maps, hamna barabara ya lami hata moja. Hapo utaambiwa ni mjini Mwanza ila Mtwapa ambapo ni mji umeshikana na Mombasa utaambiwa ni kilifi County.

View attachment 2956221
Huu ni uchafu ambao uko nyuma ya CBD Mombasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wala hata hupendi mbali just only 1km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…