NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
That's a Kenya Power pickup, not a public transport pickup.View attachment 2954649
Hawa ndugu zetu hiyo Land cruiser imewakosea nini mbona ilikua fresh tu kupakia abiria ya nini kuforce iwe Bus?
Alafu kuna mpuuzi anakuja kusema Public Transportation wako mbele, si bora mara elfu nikomae na PAPAA FOLOLO 26 LIFE, na MANDALALA
Kama mbele mwanangu β€οΈβ€οΈπππππΉπΏπΉπΏπ₯π₯π₯π₯π₯
Alaf Tanzania inaingiza 3.41b USD wakat nyinyi munaingiza 2.7b usd inamaanisha watalii wengi wanaokuja Tanzania ni watu wenye pesa na wanatumia pesa zaidi kuliko Kenya, VP hii iko clear??π€£π€£π€£π€£π€£
How do you determine how much a tourist has spent in your country? Anza kwa kujibu hilo swali ndio utagundua jinsi hii data ilivyo misrepresented.Alaf Tanzania inaingiza 3.41b USD wakat nyinyi munaingiza 2.7b usd inamaanisha watalii wengi wanaokuja Tanzania ni watu wenye pesa na wanatumia pesa zaidi kuliko Kenya, VP hii iko clear??π€£π€£π€£π€£π€£
Kwasababu Tanzania imepokea watalii 1.8m wakat nyinyi munasema mumepokea 1.9m SASA nashangaa kuona Tanzania imekusanya 3.41b USD wakat Kenya imekusanya 2.7b USD, au nahili pia unahitaj uwe na rocket science??π€£π€£π€£π€£π€£How do you determine how much a tourist has spent in your country? Anza kwa kujibu hilo swali ndio utagundua jinsi hii data ilivyo misrepresented.
Kiwanja cha mwanza kimekamilika nn??π π
Alafu wamemchomeka (najua unajua) as if wote hatuna akili.Kiwanja cha mwanza kimekamilika nn??π π
Hvi kwann nguvu kubwa Sana inatumika kwenye hili Jambo kuna kitu gani nyuma ya pazia kwenye nchi hii
Umeona jinsi miradi Mingi ya viwanja vya ndege inaendelea? Hapo havijatajwa vile vinavyojengwa ndani ya Hifadhi za Taifa.Kiwanja cha mwanza kimekamilika nn??π π
Hvi kwann nguvu kubwa Sana inatumika kwenye hili Jambo kuna kitu gani nyuma ya pazia kwenye nchi hii
Kiwanja cha mwanza kimekamilika nn??π π
Hvi kwann nguvu kubwa Sana inatumika kwenye hili Jambo kuna kitu gani nyuma ya pazia kwenye nchi hii
Mbeya kwasasa ipate walau barabara za lane mbili zakutosha kwanza ila kuhusu mwendokasi msubiri labda 2100 ππWapi Tanga Sama boy 255 πππππ
View: https://www.instagram.com/p/C5Yw2qsI1Li/?igsh=MWIzbjFjYmc5c3MxbQ==
Zinajengwa kuanzia Igawa-Tunduma , ujenzi unaendelea jijini Mbeya ππMbeya kwasasa ipate walau barabara za lane mbili zakutosha kwanza ila kuhusu mwendokasi msubiri labda 2100 ππ
You haven't answered my question.Kwasababu Tanzania imepokea watalii 1.8m wakat nyinyi munasema mumepokea 1.9m SASA nashangaa kuona Tanzania imekusanya 3.41b USD wakat Kenya imekusanya 2.7b USD, au nahili pia unahitaj uwe na rocket science??π€£π€£π€£π€£π€£
Unless unambie mumepika data mayb mumepokea 1.2m munadanganya mumepokea 1.9 then hapo ni sawa πππ na sitoshangaa kwasababu ni kawaida kwenu
Nimekuuliza swali waziri kasema viwanja vilivokamilika ni vitano kimoja wapo ni mwanza SASA nakuuliza kiwanja cha mwanza kimekamilika kitu gani ?? Kwann inatumika nguvu kubwa Sana kuamisha watu hvi ?? Hakuna MTU hataki KAZI iendelee lakini how waziri anaongea maneno kama hayo wakat ukweli anaujua, inafkirisha SanaUmeona jinsi miradi Mingi ya viwanja vya ndege inaendelea? Hapo havijatajwa vile vinavyojengwa ndani ya Hifadhi za Taifa.
Kazi inaendelea Kwa Kasi sana