Wewe ni punguani,Tanzania tuna visima vya Mafuta?
Bei zikishuka sio vibaka au?
Wanajifanya hawamjui 😁😁😁 jamaa kashachukua pesa zake anaondokaHawaifuatilii Tanzania wakati wanamjua hadi huyo dj. 😂😂😂
Alafu wanatakiwa wajifunze namna ya kupenda vya na kuvifanya viwe special. Dj ALLYB ni mtanzania wala hafanyi kazi hizo nje ya nchi ona tunavyomthamini na kukubali anachokifanya mpaka anakuwa star mkubwa hivyo.Wanajifanya hawamjui 😁😁😁 jamaa kashachukua pesa zake anaondoka
View attachment 2952959
Sio lugha yetu vipi mkorea akienda india anaongea kihindi? mtaialand akienda marekani anaongea kingereza?
I like the last paragraph of that your instagram link
The Citizen ni gazeti la Kunyaland usijisahulishe 😂😂I like the last paragraph of that your instagram link
“The powerhouses of their regions Kenya and Nigeria…”
Hadi Citizen Tanzania inajua Kenya is the powerhouse of East Africa.
160km/h 😂 😂 😂
Inabadilisha nn au inahusiana nn na daily dose🤣160km/h 😂 😂 😂
Paradise
Ya kwenu ni 100km per hour ni ya makaa global warmer160km/h 😂 😂 😂