mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,523
- 6,936
Wait till they realize it’s more economical and they start doing it and these Bongolalas will change their tune so fast it will blind our eyes… Remember the apartments were dormitories till they started building and they went crickets after… you don’t hear about dormitory no more… As I say , Bongolala is a mental condition…🤣🤣🤣Leasing aircraft ni jambo la kawaida hata ET wakona leased aircrafts, nimekuambia utuambie tumeileaase for how many years ju unajifanya mjuaji.
Mko hovyo, Kawe hii mlianza kuimba ni miaka mingapi?.., Kisumu itawatoa Kamasi., Makasembo estate ilianza kujengwa majuzi tu, sio muda mrefu na kwa sasa iko almost kuanza finishing.., kwanza hii picha ni ya kitambo kidogo, imepita hapa.., yaani miradi kama ujenzi wa nyumba imekua SGR?Nimekuonesha Maeneo 18 unakuja kujifariji na eneo majo. Leta maeneo 18 kwanza 🤣 🤣 🤣 Unaogopa?
Ukweli mchungu, ila mtapona, niko na matumaini na imani, msife moyo mifukaraTuoneshe miji 18. Watu siku hizi hawasomi magazeti. 🤣 🤣 🤣Wanatafuta kick
Kisumu vs Kawe in Dar.., boss!!!...,Tuoneshe miji 18. Watu siku hizi hawasomi magazeti. 🤣 🤣 🤣Wanatafuta kick
Nimekuonesha maeneo 18 ndani ya Dar es salaam. Unakimbilia Kisumu.Kisumu vs Kawe in Dar.., boss!!!...,
Kisumu affordable housing..,
View attachment 2951826
View attachment 2951836
Kawe stalled project..,
View attachment 2951827
Bahati mbaya mafukara wapo Nairobi wanaishi kama Nguruwe.Ukweli mchungu, ila mtapona, niko na matumaini na imani, msife moyo mifukara
vipi konza city au unajitoa ufahamu.Mko hovyo, Kawe hii mlianza kuimba ni miaka mingapi?.., Kisumu itawatoa Kamasi., Makasembo estate ilianza kujengwa majuzi tu, sio muda mrefu na kwa sasa iko almost kuanza finishing.., kwanza hii picha ni ya kitambi kidogo, imepita hapa.., yaani miradi kama ujenzi wa nyumba imekua SGR?
Kisumu affordable housing.., na hii ni baadhi ya ongoing priojects..,
View attachment 2951801
View attachment 2951806
Konza iko sawa sana, ile ni techno city ya kibiashara.., horizontal infrastructure ndio serikali imekamilisha, sasa tunepea nafasi wawekezaji.., Kenya sio Tanzania, kamradi ka serikali ka kujenga tu makazi sio jiji kanawatesa kwa miaka?vipi konza city au unajitoa ufahamu.
Since Mwai Kibaki mpaka leo Ruto anakaribia kumaliza muda wake.Konza iko sawa sana, ile ni techno city ya kibiashara.., horizontal infrastructure ndio serikali imekamilisha, sasa tunepea nafasi wawekezaji.., Kenya sio Tanzania, kamradi ka serikali ka kujenga tu makazi sio jiji kanawatesa kwa miaka?
Konza sio makazi ya watu ni biashara na uchumi..,
View attachment 2951860
View attachment 2951866
View attachment 2951863
View attachment 2951859
View attachment 2951855
Wengi ni watanzania, yaani hawkers wa kahawa, na wa vitenge, boda boda riders kutokea Arusha, wajakazi manyumbani mwetu, shamba boys.., kwani unadhani wata afford a bedsitter or kuishi kwa apartment, watu wa uswazi kutokea Dar kama wewe, wa Rwanda, Burundi, Uganda, na DRC wanajaza slums sana.., na tukiongezea omba omba kutoka kwenu (mbona hawatokei Uganda ama Rwanda..,HDI report ya World Bank imedhibitisha ni kweli mko hovyo), omba omba ni dhibitisho mkono mtupu haulambwi., mngekua nafuu wangebakia huko huko waombe hela., World bank 2024 imewaumbua tenaBahati mbaya mafukara wapo Nairobi wanaishi kama Nguruwe.
Leo umefufuka kama mzimu 😀😀😀 au ulikuwepo humu na I'd nyingine🤣🤣🤣Konza iko sawa sana, ile ni techno city ya kibiashara.., horizontal infrastructure ndio serikali imekamilisha, sasa tunepea nafasi wawekezaji.., Kenya sio Tanzania, kamradi ka serikali ka kujenga tu makazi sio jiji kanawatesa kwa miaka?
Konza sio makazi ya watu ni biashara na uchumi..,
View attachment 2951860
View attachment 2951866
View attachment 2951863
View attachment 2951859
View attachment 2951855
Maliza Kawe unitag kilaza.., makazi tu zezeta nayo ni ya ku stall!!! vi apartments tuSince Mwai Kibaki mpaka leo Ruto anakaribia kumaliza muda wake.
Hizi blah blah za nyang’au tumeshazizoea🙂Konza iko sawa sana, ile ni techno city ya kibiashara.., horizontal infrastructure ndio serikali imekamilisha, sasa tunepea nafasi wawekezaji.., Kenya sio Tanzania, kamradi ka serikali ka kujenga tu makazi sio jiji kanawatesa kwa miaka?
Konza sio makazi ya watu ni biashara na uchumi..,
View attachment 2951860
View attachment 2951866
View attachment 2951863
View attachment 2951859
View attachment 2951855
Konza iko sawa sana, ile ni techno city ya kibiashara.., horizontal infrastructure ndio serikali imekamilisha, sasa tunepea nafasi wawekezaji.., Kenya sio Tanzania, kamradi ka serikali ka kujenga tu makazi sio jiji kanawatesa kwa miaka?
Konza sio makazi ya watu ni biashara na uchumi..,
View attachment 2951860
View attachment 2951866
View attachment 2951863
View attachment 2951859
View attachment 2951855miaka kumi nangapi hata 1% ya render hajafikisha we mpumbavu ndio maana wanasiasa wanakula pesazenu kwakuwa ninyi ni nyumbu .
Sijakua humu.., mimi ni ule mse, hakuna kujificha, ni piga nipige, mbaya mbaya.., uhali gani lakini?..,Leo umefufuka kama mzimu 😀😀😀 au ulikuwepo humu na I'd nyingine🤣🤣🤣
Tanzania ipo na population ya 60M+Wengi ni watanzania, yaani hawkers wa kahawa, na wa vitenge, boda boda riders kutokea Arusha, wajakazi manyumbani mwetu, shamba boys.., kwani unadhani wata afford a bedsitter or kuishi kwa apartment, watu wa uswazi kutokea Dar kama wewe, wa Rwanda, Burundi, Uganda, na DRC wanajaza slums sana.., na tukiongezea omba omba kutoka kwenu (mbona hawatokei Uganda ama Rwanda..,HDI report ya World Bank imedhibitisha ni kweli mko hovyo), omba omba ni dhibitisho mkono mtupu haulambwi., mngekua nafuu wangebakia huko huko waombe hela., World bank 2024 imewaumbua tena
Boss mimi haunipatii hizo hadithi za vijiweni, ondokeni Kenya na omba omba wenu niwaheshimu.., endeleeni kupiga boda boda na kuuza kahawa, salon na omba omba kwa amani.., ukweli mnachukia sana..,Tanzania ipo na population ya 60M+
Jumla ya bodaboda zilizopo Tanzania ni 3M Sasa hao more than 57M unadhani wanapata wapi pesa za
Kununua Mavazi, Chakula nk.
Nikikuita kuwa wewe ni stupid nitakuwa nimekosea? 🤣 🤣 🤣 🤣
Mwishoe matokeo huwa inawanyamazisha mnatafta pakutokea, malizeni Kawe mje tusemezane.., domo domo bakini nazo vijiweni..,Hizi blah blah za nyang’au tumeshazizoea🙂