Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati vijiji!
Kwani Hadi mko categorized under villages kama makondo Karne hiii?
Semeni each household not villages.
Angalia mazingira ya hicho kijiji yanavyovutia, kusafi kweli kweli, watu wamestaarabika mpk vijijini unlike you hapo yangeonekana ma flying toilets mauchafu ya kila aina, you guys are not yet civilised at all. Mpogo kama wadudu nyie wakenya 🚮🚮🗑️
 
Ni muda mrefu tangu nikue humu.., no change.., yaani hii miaka yote Kawe bado inatapatapa.., Tanzania SGR bado hamjapanda? Mombasa walianza na kukamilisha affordable housing.., taifa fukara hili Tanzakundu..,😛

Buxton aafordable housing wakati wa ujenzi.., MOMBASA ndio Dar es Salaam..,

finished.,



 
Nimekuonesha Maeneo 18 unakuja kujifariji na eneo moja. Leta maeneo 18 kwanza 🤣 🤣 🤣 Unaogopa?
 
Hii World Bank haipendi Tanzania kamwe, inawaonea, wanavuta mkia ukanda huu kwa HDI.., Mifukara kuruka, Report inaongelea Masomo ni duni, sector ya Afya bado sana., ufukara ndio umeongezeka zaidi.., yaani Tanzania is behind Uganda and Kenya na bado wanabweka humu..,

Nilipenda vile serikali yao ilijaribu kujitetea kutokana na hii aibu.., taifa halikufunga but mifukara waliongezeka kwa wingi kwanza mwaka jana, hawakukua na maandamano lakini wapi! mizembe, watu bladfwakin kabisa😛😛.., health sector bado ni hovyo, kumbe ni vipicha tu wanatuwekea humu but empty services.., haitoshelezi mahitaji,
Masomo ndio msiseme, academic dwarfs wa EAC, uchumi hafifu..,

Wengi bado wanaanguka kwa ufukara..,



Kisha wakulima wao ndio mafukura wa kutupwa, eti wanalisha Kenya, huwa narudia mara kwa mara tusiponunua mazao yao hawa kwisha, hawajiwezi ata kununua chumvi itakua kero.., kile world bank hawakumention peupe ni an external factor yenye ita affect wakulima wa Tanzania ni Kenya kukua na bumper harvest, mwaka jana tulivuna sana, so sijui kama mkulima wa Tanzania ako na ukombozi.., soko hakuna
 
Tuoneshe miji 18. Watu siku hizi hawasomi magazeti. 🤣 🤣 🤣Wanatafuta kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…