Sio kupenda kwao, serikali imefinya media, wanaambiwa wapene fake news, ndo waonekane better. And it has to be Kenya because of course Kenya is the reference pointNilikuwa nimeshangaa. Sukari Bei imeshuka na iko kwa wingi tuu. babayao255 unaona Yale huwa nakwambia mko petty? Ingekuwa ni media ya Kenya imeshare habari hizi za uongo kuhusu Tanzania mngezuandika kwa kitabu cha kumbukumbu na 100 years from now wajukuu wenu bado wangekuwa wanaongelea jinsi Kenya tunavyoharibia nchi yenu Jina.🤣🤣
Hata huna aibu, did you think to see the 10 countries mentioned are coincidentally the top 10 in GDP?Matokeo ya Kichwa kikubwa kujaa makamasi badala ya ubongo 😁😁😁😁👇👇👇
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1774535241761173605?t=1ux2liODavUa_emvYI9Xaw&s=19
Niliona hiyo list yake nikaamua tu kunyamazaWewe bora uacha wehu.
GDP iliyoshindwa kulipa NESI salary? 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Hata huna aibu, did you think to see the 10 countries mentioned are coincidentally the top 10 in GDP?
Well paid doctors are stricking patients are dying .Kenyan doctors are well paid than your doctors. So point yako ni gani?
GDP iliyoshindwa kulipa manesi salary au? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nchi zote kwa hio list zikona GDP kubwa kuliko bongoslum, ni moja tu ndio optional. Maskini hakopeshwi. 😂 😂 😂
Lol!Wewe kwenu ni Yemen. Hivi Yemen kuna mpira?
Mumekodisha kwa Nani tena 🤣🤣🤣🤣🤣Hatupigi kelele ju tumezoea hizi vitu. Washamba wamebuy ndege juzi huku hatukua tunapumua, hadi wanaitrack kwa flight radar. 😂😂😂😂
View: https://x.com/KenyaAirways/status/1774809878898278462?s=20
Well paid by who wakat wako barabarani njaa tupu hata working environment sio salama kwao 🤣🤣🤣🤣🤣Kenyan doctors are well paid than your doctors. So point yako ni gani?
Hawa nyang'au watoto wa Ruto wanachekesha sana😎Well paid by who wakat wako barabarani njaa tupu hata working environment sio salama kwao 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe hujiulizi ni kwa nini kwa hyo List ni Only the Top Growing Economies in Africa.Matokeo ya Kichwa kikubwa kujaa makamasi badala ya ubongo 😁😁😁😁👇👇👇
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1774535241761173605?t=1ux2liODavUa_emvYI9Xaw&s=19