Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gor is the only East African club to ever won an African Continent trophy.

 
Ifike hatua muamini ukweli kwenye soccer tumewaacha mbali Sana na inaweza hata kuwachukua 50good years na hii sioutani ni fact , jifunze Ku appreciate hata kama inakuuma sana😀😀😀😀😀
Show me any club in Tanzania with a continental trophy.

This is Gor Mahia
 
Timu inalala airport kwa kukosa pesa ya kulipa hotel. 😂😂😂
 
But why did they have to do that!?
kwasababu walishazoea kutufanyia yale wanafanya tukienda kucheza kwao now they see kwamba tutawafanyia so wanajipanga mapema. Hamuwezi elewa kwa kuwa ninyi hamshiriki haya mashindano nchi za uarabuni ndio zimezoea sana kufanya haya mambo hata kupuliza dawa za kuchosha mwili ktk viyoyozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…