Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good morning bby kadoda11,hope you had a billion dreams about me.
 
Hamkosi sababu kawaida yenu ila mioyoni mwenu mnakili tuko juu zaidi yenu kigumu ni kutamka kwa maneno na vidole, hata roho zenu ngumu zinakiliii hilo
Ashakuambia difference kati ya sgr na tazara hiyo yenu mnayoita sgr pia. Ni kitu gani ngumu sana kuelewa hapo ama ni ubishi ndo mnapenda.
 
Itatukosesha vp usingizi wakati haipo😀😀😀😀
 
Still waiting for residential estates za Dar......11 months later.........

In Dar its mainly Apartments..ambazo ziko kwenye towers ..hizo residential estate ..its not our type of thing ..but go and google
-Dar Villas
-Mlimani Villas
-Avic Town
-Dege Eco Village
-Mwongozo Beach Estate

Hizo ni mfano na ziko estate nying sana kigambon na nyngne chanika ..tatizo lenu mmekariri mnataka muone estate kila sehemu
 
Asante kwa kukubali kwamba hamna estates. Tunapenda watu kama wewe who speak the truth. And what did you mean by 'apartments ambazo ziko kwenye towers'? So wewe unaishi TPA tower ama what exactly do you mean?
 
Asante kwa kukubali kwamba hamna estates. Tunapenda watu kama wewe who speak the truth. And what did you mean by 'apartments ambazo ziko kwenye towers'? So wewe unaishi TPA tower ama what exactly do you mean?

Dar hamna nying kama nairobi huo ni ukweli ..na cjasema Dar hakuna estate ..zipo ndo maana nkasema ka google
1.Dar Villas


2.mlimani villas


3.Avic town


4.Mwongozo Beach


Hio ni mifano nenda ka google nyinge Ada Estate, Sea Villas ,Dege eco village ,Bella Vista..zote ziko Dar

Sasa sisi tuna mainly Apartments

Naona umerikariri TPA Tower ..it is an office tower
Hebu angalia hizi

1..Umoja Wa Vijana ..kuna 25flr x2 + 14flr + 11flr


2.Palm Residency


3..Uhuru Heights


4. Crystal tower
 
meanwhile azam tv crew from tz is already in machakos to bring us live broadcast for cecafa senior challenge cup 2017.

wasee wa hasira ruksa kutoa povu.hapa kazi tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa hii stadium gani kuhost International tournament?
Mmeshindwa hata kutuwekea nyasi bandia jamani?
Mbona wakenya mnatutia aibu namna hii?
 
Sasa hii stadium gani kuhost International tournament?
Mmeshindwa hata kutuwekea nyasi bandia jamani?
Mbona wakenya mnatutia aibu namna hii?
shame indeed....hili la viwanja vyao duni nimeliweka kiporo kwa sababu maalum....nitalianzishia special thread baada ya kuanza mashindano ya cecafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…