mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,530
- 6,950
Mama Ngina’s wealth keeps rising courtesy of you Bongolalas since she lives rent free in your heads…🤣🤣🤣Wakenya watakuonesha Mama Ngina Development; wakati Tanzania inafanya National Development
View: https://youtu.be/98OCQCDGDaA?si=VZk5r5BDSm0wNpLY
Dua la kuku halimpati mwewe go on dreaming😅Another lose in waiting.
Dream ama reality? Tanzania is always known for losing. Yesterday a Tanzanian team lost unknown tournament.Dua la kuku halimpati mwewe go on dreaming
Kitu yafaa uelewe ni kwamba, out of 50M Kenyans, lazima kuna mmoja ataongelea kinachoendelea Tanzania. Kulingana na arguments zenu ni kwamba Wakenya wanafuatilia sana mpira wa Tanzania alafu mnaquote tweets za mwanahabari mmoja asiyesjulikana ambaya anaripotia media yake eti sasa hiyo ndio proof. Ndio maana tunawaambia huyo ni insignificant. Halafu hakuna mahali nimemkana huyo Okinyi, nimesema tu ni mwanahabari mdogo hata ukiangalia tweets zake hazina engagement , unapata comment tano pekee lakini mmeshinda mkimquote humu hadi mmempea umaarufu kumaanisha mnataka sana validation ya Wakenya. Na usiwe mnafiki, mlionyeshwa Baba Levo humu akisema Nairobi imezidi Dar kwa mbali mkasema Baba Levo ni insignificant.Ila nyie ndugu wabishi, asingekuwepo mngesema no Kenyans care, ila akiwepo mnasema hammjui, kama yule wa EACOP.
Shikilia moja ikiwa Raia wenu manawakana ili kuepusha kukiri what the?
Nakumbuka ulisema kwenye maandamano dhidi ya EACOP sio wakenya ukaletewa ushahidi ukala kona kua yeye ni insignificant, swali: Ni mkenya or?
Na hao followers wake wote huwaoni?
Mpaka anaandaa makala ya Gazeti za the Star.
Air Tanzania is making a similar but bigger mistake that Kenya Airways made in the early 2010s. They are so focused on expanding they forget the company has to be healthy. Kenya Airways bought a lot of planes in early 2010s and the rapid expansion saw the airline go to its knees. Nasema ya ATCL ni makosa kubwa zaidi kisa ATCL bado changa sana hata haijatengeneza profit yake ya kwanza washaanza kununua ndege kiubabe. Kenya Airways ilifanya rapit expansion wakati ikiwa ranked the best airline in Africa na ikiwa na profits kibao yet haikusucceed sasa hawa wanamake losses kila mwaka wanangángánia expansion. Sahii tunavyoongea KQ imepunguza ndege kutoka 54 hadi 35 ndio ianze kukua kwa akili na upole na ndio imepata profit ya kwanza kwa miaka 7.Save this comment mtakuja kuniambia.Lakini nani aliroga hawa majirani ...
View attachment 2949014
Na yet tumeingiza team mbili robo fainali ndio Taifa pekee Africa kuingiza team mbili robo fainali alaf unaongea nn hapa🤣🤣🤣Dream ama reality? Tanzania is always known for losing. Yesterday a Tanzanian team lost unknown tournament.
The difference is ours ( Mawingu initiative) was derived by economics at the time but theirs is derived by inferiority complex… it’s all about to one day say ..” our Airline is bigger than yours “…. They try so hard to outperform us they end up making stupid decisions…Air Tanzania is making a similar but bigger mistake that Kenya Airways made in the early 2010s. They are so focused on expanding they forget the company has to be healthy. Kenya Airways bought a lot of planes in early 2010s and the rapid expansion saw the airline go to its knees. Nasema ya ATCL ni makosa kubwa zaidi kisa ATCL bado changa sana hata haijatengeneza profit yake ya kwanza washaanza kununua ndege kiubabe. Kenya Airways ilifanya rapit expansion wakati ikiwa ranked the best airline in Africa na ikiwa na profits kibao yet haikusucceed sasa hawa wanamake losses kila mwaka wanangángánia expansion. Sahii tunavyoongea KQ imepunguza ndege kutoka 54 hadi 35 ndio ianze kukua kwa akili na upole na ndio imepata profit ya kwanza kwa miaka 7.Save this comment mtakuja kuniambia.
Wanadhani Airline business ni mabasi za kuenda mikoani. Wacha kiwarambe.The difference is ours ( Mawingu initiative) was derived by economics at the time but theirs is derived by inferiority complex… it’s all about to one day say ..” our Airline is bigger than yours “…. They try so hard to outperform us they end up making stupid decisions…
Kenya mtu akiuliwa huko Mandera mnasema failed state, sasa hapa Mbunge anauliwa tena mjini kweupe sijui tuiteje?
What have those teams won?Na yet tumeingiza team mbili robo fainali ndio Taifa pekee Africa kuingiza team mbili robo fainali alaf unaongea nn hapa🤣🤣🤣
BRT enyewe wameshindwa ku-operate.Wanadhani Airline business ni mabasi za kuenda mikoani. Wacha kiwarambe.
Mother of All Kenyans 🤣 🤣 🤣 🤣Mama Ngina’s wealth keeps rising courtesy of you Bongolalas since she lives rent free in your heads…🤣🤣🤣
View attachment 2949053
Kwani kuna wakenya wangapi wameuliwa huko mandera?Kenya mtu akiuliwa huko Mandera mnasema failed state, sasa hapa Mbunge anauliwa tena mjini kweupe sijui tuiteje?
Ulisikia wapi mbunge Ole Sendeka ameuwawa mjini kweupe?Kenya mtu akiuliwa huko Mandera mnasema failed state, sasa hapa Mbunge anauliwa tena mjini kweupe sijui tuiteje?