Imagine I had to google that name to ascertain he is a Kenyan. Venye wamefurahi ungedhani ni Jeff Koinange ama Larry Madowo ndio ako Tanzania talking about CAFCL.Huyu Collins Okinyo amekuwa celeb hapo bongo, huku kwetu hata hatumjui. Mimi ndio mara ya kwanza namsikia kwa hii thread. Seems you guys are so hungry for our validation.
Kwani nje ya stadium ni murrum roads??Uganda media reporter from dar es salaam
View: https://twitter.com/CliveKyazze/status/1773675134684917902?t=9-iImI2wambEInMhmIiKOw&s=19
Twende China kama vipi tukanunue kwao asee! Maana American standard ni ufala ndio hivyo.Boeing CEO, Dave Calhoun na mabosi wengine watatu, wamefukuzwa kazi, hii ni baada ya whistleblower aliyefichua madudu ya kampuni hiyo kuuawa wiki jana. Nilimekuwa nikilalamika hapa kwa miaka zaidi ya miwili kuhusu ATCL kuendelea kununua hizi ndege za 737 MAX. Tena kuna watu hapa, mmoja wao akiwa ni joto la jiwe alizitetea sana ndege hizi, akidai zimekarabatiwa.
Baadhi ya watu hawaelewi kuwa Boeing ni kampuni bomu kwa sasa. Hii ilikuwa ni kampuni nzuri sana zamani, enzi hizo wakiwa na kamsemo kao "Boeing is a company of engineers", dhana ilikuwa, "to build a good piece of engineering and they will come". Wakimaanisha kutengeneza bidhaa bora kuzingatia usalama na kila dhana ya kiuhandisi.
Mambo yalibadilika 1997 pale Boeing ilipoungana na McDonnell Douglas, kampuni iliyokuwa na dhana tofauti, yaani wao faida kwa stock holders ndo kila kitu, hata kama watatengeneza crappy products. Baada ya merging, vigogo wa McDonnell Douglas ndiyo wakawa waendesha kampuni, Boeing ikabaki jina tuu. Product ya viongozi wa McDonnell Douglas ndiyo haya majeneza yanayoelea yanayoitwa 737 MAX.
Watu wanaojielewa siku hizi hawapandi tena hizi ndege, including Boeing employees.
Ila nyie ndugu wabishi, asingekuwepo mngesema no Kenyans care, ila akiwepo mnasema hammjui, kama yule wa EACOP.Huyu Collins Okinyo amekuwa celeb hapo bongo, huku kwetu hata hatumjui. Mimi ndio mara ya kwanza namsikia kwa hii thread. Seems you guys are so hungry for our validation.
Huaga unachomoaga wapi hoja zako? Matakoni au? Kuna Sports Journalist, na Kuna News Correspondent, na Kuna ambao uandishi wao umebasi kwenye dialogue na watu mashuhuri.Imagine I had to google that name to ascertain he is a Kenyan. Venye wamefurahi ungedhani ni Jeff Koinange ama Larry Madowo ndio ako Tanzania talking about CAFCL.
Carol Radull is the biggest Sport Journalist in East Africa. Mbona hajakuja Tanzania?Hao uliowataja sio sports journalists, ila huyo mnayemkana ni sports journalist
Muulize huyu atakujibu👇👇👇👇Kwani nje ya stadium ni murrum roads??
How can u be broke yet unanunua ndege kubwa za thamani ww mwenyewe hujiulizi swali ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona kq hamnunui ndege yet muna loss inawatafuta over 11years,Lakini nani aliroga hawa majirani ...
View attachment 2949014
Alaf ajabu ya hii dunia mkenya ndio anaumia Uganda na Tanzania kuharibu misitu Yani vitu havimuhusu alaf anaumia yeye😅😅😅😅 alshabab wanachapa Huko Lamu huskii hata akitoa commentIla nyie ndugu wabishi, asingekuwepo mngesema no Kenyans care, ila akiwepo mnasema hammjui, kama yule wa EACOP.
Shikilia moja ikiwa Raia wenu manawakana ili kuepusha kukiri what the?
Nakumbuka ulisema kwenye maandamano dhidi ya EACOP sio wakenya ukaletewa ushahidi ukala kona kua yeye ni insignificant, swali: Ni mkenya or?
Na hao followers wake wote huwaoni?
Mpaka anaandaa makala ya Gazeti za the Star.
Another lose in waiting.
From this Magazine I can see the exchange rate is already at Ksh1=Tsh20. By December I won’t be suprised exchange rate ikifika Ksh1=Tsh35Lakini nani aliroga hawa majirani ...
View attachment 2949014