muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
It's actually the other way. Kama ungekuwa na akili ungeliona hilo kitambo.Kitu Uganda imefanyia Tanzania ni Kama msichana amedarwa alafu akishashikwa na nyege mwanaume anamuacha hapo kwa kitanda.
Hvi haya madudu Rais wa nchi anayajua??
Sijaona chuki kwa Yale aliyoandika, ama labda unieleze ni lipi la chuki hapo.Akili Huna kijana. Alafu kuna NairobiWalker anaita banter
Watakuambia Kenya tunabaguana. Kenya hatujawai Fika hii level. Very backward mentality."Hapa si bara", wakristo wanapata shida Sana Zanzibar
View: https://twitter.com/city_digest/status/1773641390078996609?t=ar8kIf6sbAQvnQuDmMVacA&s=19
Mloshangilia humu vile mmeteka Soko la Ug alafu sahii mnajaribu kutafuta PA kutokea. Uganda wanewachezaIt's actually the other way. Kama ungekuwa na akili ungeliona hilo kitambo.
Kila mtu anajua sahivi, ili upate unachotaka kunyaland basi wewe taja Tanzania Tu 🤣
Wakenya wengi wanapenda Simba na Yanga kufa, hawa wanuka mavi wa humu nao wanazipenda hizi timu zetu sema tu hii battle ndo wanavunga.Shabiki wa Simba alietoka Kenya🤣🤣🤣
Sikieni Kiswahili yake
View: https://youtu.be/sltnVEidM7M?si=DTAvFThj-wPcC5O6View attachment 2948742
Umempa uppercut ya maana 😀,kunyan kufake maisha ni kawaida sana kwaoKaokota picha mitandaoni Huko anajifanya na yeye anakula bata mumuone anamaisha mazuri, fake life Yani kila kitu kwenye maisha Yao ni fake na sijui hua wanapata faida gani mbwa hawa, 🤣🤣🤣🤣
Wewe dole la kati alilowatia mu7 kwenye eacop umesahau ina maanaKitu Uganda imefanyia Tanzania ni Kama msichana amedarwa alafu akishashikwa na nyege mwanaume anamuacha hapo kwa kitanda.
Since you love correcting Kenyans on their vocabulary, I will be honored to alert you … I think you meant amateur NOT armature, which is a metal device …🤓😜Kama hujui kizungu usilazimishe kuandika armature na kuvaa viatu vya skating😎
Zanzibar ni kisiwa kinachojinasibu na sheria za kiislam."Hapa si bara", wakristo wanapata shida Sana Zanzibar
View: https://twitter.com/city_digest/status/1773641390078996609?t=ar8kIf6sbAQvnQuDmMVacA&s=19
Mbona jambo la kawaida sana!?Kitu Uganda imefanyia Tanzania ni Kama msichana amedarwa alafu akishashikwa na nyege mwanaume anamuacha hapo kwa kitanda.
Khaaa!Yani kamkataba haka ndio unaruka ruka!?Mloshangilia humu vile mmeteka Soko la Ug alafu sahii mnajaribu kutafuta PA kutokea. Uganda wanewacheza
Nimeficha sura kwa Sababu ya privacy ya huyo Dada.Mchizi leo kujifanya eti yeye ni huyo mwamba kwenye picha, akiona ili tujue kwamba ni yeye eti akaificha sura ya huyo binti 😂😂😂 ooooh my guy Reborn Ktb we all know uko na dream ya kufika Arusha, ushauri wangu wa bure kwako kaka, subiri muda bado and trust the process, utatimiza tu ndoto zako buda.
Wivu utakuua wewe, kabla ya siku zako.Huu uwanja ndo utaanda AFCON, cheki ulivyo mchafu😄View attachment 2948779
Kapausha picha ili ajifariji, anadhani ana akili kuliko CAF na FIFA walioona uwanja huu pekee ndiyo una vigezo East and central Africa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wivu utakuua wewe, kabla ya siku zako.