Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuendesha ma bus ya BRT imewashinda mpaka imebidi waombe usaidizi kutoka kwa kampuni ya Dubai (ENG), yani kitu ambacho kampuni private ya Kenya inaweza kufanya imeishinda serikali ya Tanzania. Alafu utarajie wanaweza kuendesha biashara ngumu kama ya Aviation. Bandari pia nayo imewashinda washaanza kuuza gati moja baada ya nyingine😃😃
 
Kwani aliekwambia serekali ndio ilikua inaendeshwa hio mradi ni Nani??😂😂😂
Hapo katafutwa mwendeshaji mwengine aliekuwepo Kwanza kashindwa anapewa mwengine chizi wewe, serekali haifanyi KAZI hio
 

This? 👇




Japo sisupport huu upuzi wa saiz, kila kitu Dubai
 
This airline will never make any profit. Imagine wanatengeneza hasara yet they don’t pay parking fees at any airport within Tanzania contrary to what KQ is doing.
Ujamaa Airlines…🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…