Wanapotosha Uma gani zaidi ya wanajidanganya wenyewe kama MTU Yuko tayar kufa njaa ili aonekane ana maisha mazuri na hata sijui Wana laana gani hawaMzee usitupange wewe, toka mvunje EAC, kuiba ndege, Kuandamana kida EACOP isijengwe, kupotosha ukweli wa vitu vya TZ ili muonekane mko vizuri. Hizo ni banter?
Tanzania ndio nchi pekee yenye experience ya ku host mashindano makubwa ya Soka
ππππππ
Na hii imekua baada ya B737-9 MAX kuwasiki Tanzania ππππ fake life always sijui hua unapata faida gani mumekaa kama kondoo
Hata hii ilikuwa na render kama ya talanta lakini hii ndo outcome uwanja kama zizi la ng'ombe.Afraha Stadium coming up.
Let's not forget that Tanzania only have one Stadium.
View attachment 2946527
Hizo ni insecurities zenu. Mbona Uganda wasilalamike?Mzee usitupange wewe, toka mvunje EAC, kuiba ndege, Kuandamana kida EACOP isijengwe, kupotosha ukweli wa vitu vya TZ ili muonekane mko vizuri. Hizo ni banter?
Migomo ya marubabi itawaumbuaWameona atcl imepata faida mwaka jana wakaona nao wapike data, shida zote mlizonazo, ma cancellation na ma delays yote hayo bado mtengeneze faida π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nanusa Harufu ya ChatGPT hapa π€£ π€£ π€£ π€£ πππHizo ni insecurities zenu. Mbona Uganda wasilalamike?
1. EAC ilivunjwa kisa hakukuwa na maelewano. Huwezi laumu Kenya wakati kutoelewana kulitokea pande zote. Hatukuiba ndege, tulichukua ndege kulingana na shares tulizokuwa nazo. Kwa East African Airways, Kenya ilikuwa na 67.7% shares Tanganyika ikawa na 9% Uganda 22.6% na Zanzibar 0.7%. Ulitegemea tugawane visawa wakati sisi tuna shares nyingi? Cha kushangaza, Waganda ambao walikua na shares nyingi kumshinda hawalalamiki ni nyinyi tu kisa mmeaminishwa na wanasiasa wenu na chuki zenu.
2. Maandamano ya EACOP hayakufanywa na Wakenya, yalifanywa na watetezi wa mazingira. Yalifanyika UK na France. Tena wanasiasa wenu wamemuaminisha ni Kenya. Shida yenu hamuelewi jinsi ulimwengu unavyosonga. Kwa nchi zilizo na uhuru wa kujieleza huwezi jenga mradi wa kiwango hicho na kusikuwa na maandamano ya watetezi wa Mazingira - hapa Kenya kabla SGR ijengwa kulikuwa na maandamano - same na Thika road, EXpressway n.k.
3. Sijui unamaanisha nini na kupotosha ukweli. Shida yenu huwa hampendi kukubali ukweli alafu kila kitu mtalaumu Wakenya, sijui mna akili za kitoto ama vipi. World Bank ikitoa ripoti isema Tanzania ni bora kuliko Kenya kwa sector fulani, mtashangilia kila mahali hadi kwa socia media ndio kitu mtaongelea. The same World Bank ikitoa repoti eti Kenya ni bora kwa Tanzania kwa lingine mnaanza eti ooh Wakenya wanapotosha ukweli, ooh wanacook figures waonekane bora kutushinda. Yani huwa mnatia huruma sana.
Wee mwenyewe ukichunguza vizuri kwenye huu uzi walio na chuki ni kina nani? Saa hii tunabanter ni nchi gani itakuwa more prepared for AFCON ila wakati zetu ni banter tu, kwenu ni full chuki hadi mnaomba tukuwe banned ama tusiwe na uwezo wa kuandaa.
Shida ya kutokuwa na akili unaona kila mtu ni kama wewe hadi ukiona mtu ameandika kitu cha maana huamini ameandika mwenyewe maanake kwako ni impossible.Nanusa Harufu ya ChatGPT hapa π€£ π€£ π€£ π€£ πππ
Nakujua wewe huna uwezo wa kupangilia Sentensi π€£ π€£ π€£ π€£ Hayo maandishi meeengi umeyanyofoa kwenye ChatGPT.Shida ya kutokuwa na akili unaona kila mtu ni kama wewe hadi ukiona mtu ameandika kitu cha maana huamini ameandika mwenyewe maanake kwako ni impossible.
Ungemuuliza mbona Bomba ilipotaka kupita Kenya hao watu wa mazingira walikua kimya au walikua wamelewa??ππππNanusa Harufu ya ChatGPT hapa π€£ π€£ π€£ π€£ πππ
Alfu jirani huko wanawaza kupindua meza, imagine pasaka hii miamba ya Africa inaumana na mechi zote saa 3 Usiku. Na Zinasha salama, alafu wanataka CAF ijilipue?Tanzania ndio nchi pekee yenye experience ya ku host mashindano makubwa ya Soka