NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Geuza uloooleee! 🤣 🤣 🤣Tulishawaambia Afcon 2027 wataionea kwa Bomba wakabisha!
Ila wabongo mnakuwanga na chuki kiukweli. Yani sisi Wakenya huwa tunabanter tu ila nyinyi mmejaa chuki na roho mbaya dhidi yetu sana. Lakini Mungu naye ni nani.🤣🤣🤣
