Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

B787 ya April itakua ya 16 alaf kuna q400 itakua ya 17 hizo 3 zilizobaki ni zipi ?? Wanaojua watujulishe
Nadhani Budget ya mwaka huu itatupatia picha. Walileta Ndege moja ya mizigo kwaajili ya kutest biashara hiyo. Nadhani kutakuwa na ndege zingine za mizigo.

Tayari Safari ya Kwenda SA zimekaribia kuanza. Na vile vile Safari za kwenda London.
 
Bro unakimbilia mimi kutokuelewa!?
Embu wacha nikuache.
Unaongelea jinsi pesa unayopata inaweza kumudu Mtanzania kimaisha nami naongelea jinsi medics Wakenya wanavyolipwa bora kushinda wa Bongo. Ndio maana nikakwambia hujaelewa nilichoandika. Kumudu kimaisha hata nusu ya hizo pesa mtu ataishi nazo tu, inategemea ni level gani ya maisha. Just because unaishi kwa dolla 400 kwa mwezi haimaanishi usilipwe zaidi ya hiyo. The main point ni kuwa, medics wa Kenya wanalipwa vizuri zaidi ya wa Bongo.
Dolla 400 ni mshahara duni popote duniani, the fact that unajimudu nao haimaanishi you can't do better. Dolla 400 ni pesa za mafuta pekee kwa mwezi kwa bei ya mafuta ya hapo Tanzania kwa mtu anayeishi hapo Tanzania na anaendesha gari la zaidi ya 2500cc na analitumia hilo gari kila siku kwa hivo ukisema hizo pesa zinakutosheleza ushaajitoa kwa walio na magari na kuyaendesha shughuli zao za kila siku. Utakuwa pia ushaajitoa kwa wanaoishi kwa nyumba zenye hadhi hapo hapo Dar. Utakua umejitoa kwa wale wapendao kuzuru sehemu tofauti na kujienjoy maanake kutoka hapo Dar uje Nairobi ulale hoteli nzuri siku moja na urudi Dar tayari hizo dolla 400 zishaisha. Hizo dolla 400 hata kusave ununue gari cheap kama Vitz already ni balaa. Kama huna haja ya kuimprove maisha yako, hata dolla 100 kwa mwezi utaishi nazo tu na ujitosheleze. Ndio maana nakwambia hiyo angle unayobisha nayo haiingiani na ninachoeleza hata kidogo na kama hivo ndivyo mlivyo hapo Bongo ndio maana hamna migomo despite the fact that mishaara yenu ni duni.
 
Doh! Kuna point labda nikuweke sawa.
Kuyamudu maisha na kutaka maisha ya juu ni mambo mawili tofauti bro.
Kwa hiyo 400$ nikiamua kusave naweza kusave na nikanunua gari japo itachukua muda kidogo na inategemea nitanunua gari aina gani.
Wapo wanaojenga kwa mshahara wa 300$ ambao ni walimu aisee.
Pia mie nimezungumzia kwa level ya elimu.Wapo wanaolipwa mpaka 600$ kwa mwezi mpaka 2000$ kwa mwezi kulingana na elimu,pia Tanzania kila baada ya miaka minne mshahara huwa unapanda kwa muhudumu wa afya.
Pia kurahisisha maisha Tanzania watumishi wa umma wana mikopo ya HARAKA NA BEI NAFUU YA KUJENGA NA BIASHARA.
Pia wanahimizwa kuweka mfuko wa bima eidha NSSF au PSSF.
Kuna mikopo ya magari kwa watumishi wa umma.
Hiyo laki nane na nusu kusema imejitosheleza ni katika uchumi wa kati sio wa chini.
Kwa hiyo hela nakula kuku na akiba naiweka.
Let's say kwa siku niweke 15k ya matumizi,kwa gharama ya maisha ya Tz inatosha kwa kula.
Niseme nitoe 5k ya nauli ukijumlisha kwa mwezi ni sawa laki sita.
Kiakiba inabaki laki tatu kasoro.
Nikitaka gari nyumba nitachukua option nyingine ambazo ni rahisi na wala hazikandamizi.
Huyo ni mimi wa diploma.
Na huo ni mshahara wa kwanza ndan ya miaka minne unapanda.
Je Kenya mna system hiyo?
 
Unatupigia kelele hapa juu ya salary yet you are earning peanuts.
 
Au wewe bro unataka kunambia ghafla bin vuu umeingia kazini unataka mshahara mkubwa upate nyumba fasta na gari fasta??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…