Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na mm ndivyo nnavyojua hivyo, huku mtaani kwetu ukimuomba mtu pesa akakujibu "kama kenya mwanangu" ujue hapo anamaanisha hana kitu ni njaa tu.
Wakenya wenye ksh laki moja bank wapo 1.9M, je hawa wa humu ni kati ya wakenya wenye ksh laki moja bank?
Badala wakatafute pesa wapo humu kulazimisha mambo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakenya wenye ksh laki moja bank wapo 1.9M, je hawa wa humu ni kati ya wakenya wenye ksh laki moja bank?
Badala wakatafute pesa wapo humu kulazimisha mambo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi wewe uko humu ama hauko humu?🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…