Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lete map ya Kenya unionyeshe vizuri nijue ni kiasi gani wanamiliki
Kias gan wanamiliki wakat washakuonesha kila mzungu eneo analomiliki au huoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yani settlers ndio wanaikamua hio nchi kuliko wazawa
 
So we chukua ardhi yote wanayomiliki wazungu alaf jumlisha na ardhi ya politicians wakenya mumebaki na nini zaidi ya makende πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hongera kwa kuona, kukubali na kusema ukweli, Kenya ina matatizo mengi sana hilo likiwa ni mojawapo, lakini kuna wakenya wengine watakupinga kwasababu wao wanafaidika na hali ya sasa ya umiliki wa ardhi, kama ambavyo wewe unavyopinga pale mkenya mwengine anavyoona jinsi ukabila.unavyotumika katika kupeana kazi na vyeo mbalimbali, au jinsi vyombo vya usalama vinavyotumika kukandamiza au kuwaua watu wa jamii fulani, au jinsi serikali inavyopendelea upande fulani wa nchi, kwa ufupi Kenya ina matatizo mengi sana ya msingi ambayo kama hamtoanza kuyashughulikia na kuamua kushabikia ujenzi wa majumba marefu na barabara za juu pekee, Kenya itasambaratika siku sio nyingi toka sasa.
 
There is no average?ofcz everywhere there is A to F

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
of course there is. that grading is calculated from an individual's average score but this varies from subject to subject. For instance, sciences have a lower average calculations compared to humanities, for example. You can score 60% in physics and get a B+ but the same score can't get you the same grade in Geography or history and government for example.
 
After form 4 then one's apply for university directly or there is other procedure before?
 
After form 4 then one's apply for university directly or there is other procedure before?
This is done while you are still in high school (at form four level of course) with the help of their teachers and parents. You choose different courses which you, your teachers and your parents feel you will be able to do based on your four-year performance in school. After the results are out and you score the minimum entry point to university, you do another course selection in case your grade doesn't allow you to do the courses you had chosen earlier. after this, you receive a calling letter from the university indicating which course amongst the ones you had chosen you've been selected to study based on your grade.
 
Tunampa airtime kwa sababu ingekuwa huko bongolala mngeshamla. saa hii angekuwa kitoweo kwa sahani
[emoji23][emoji23][emoji23] sisi hatuli hao, tunakula watu kama wewe wanaoongea Nonsense
 
Pesa hakunaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uchumi umeyumba yani mpaka pesa za kuwalipa engineers hazipo pesa zakuagiza spares hazipoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ alaf wanakwambia GDP KUBWA huku kampuni inakufa inajiona leo miaka inaenda mitano kampuni inaendesha hasara mwaka huu imeendesha hasara ya over 3.8 b ksh si bora murudishe ndege za watuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›



KQ engineers on a go-slow demanding international salaries - Capital Business
 
asante kwa kujifariji...ukweli ni kwamba kwenye suala la land grabbing nchini kenya,hakuna county au province ambayo ipo safe...hakuna county ambayo the elite class hawajapora ardhi....almost each place in kenya is going through conflict over land.
naweza nakaleta ushahidi katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…