Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They do look decent and way better than most in African cities outside South Africa. Despite that, the place looked better with the lowrises alone. The highrises could have been constructed elsewhere as a new estate leaving the lowrises in this area intact. Check out European cities, lots of buildings that were modernized after WW2 are being restored to their original pre-war facade like this building in Warsaw.
 

In European cities, they demarcated new areas to construct contemporary highrises that prevented interfereing with classical architecture. I actually like the development happening in Kilimani, Kileleshwa, Westlands, Lavington and South C but It would have been better if those highrises had been constructed in a completely new area. Imagine if Kilimani was as green leafy as it was in the 90s and Ngong had all the highrises currently in Kilimani.
 
The only stadium ambayo mafans hawatakua wakinyeshewa na mvua. Zoea mapema. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Tumelichoka turubai la msiba.
Kwanza tueleze kwanini 40% ya budget yenu ni misaada. Jibu ni kwamba zile vipeni mnakusanya mnanunua ndege na treni za mtumba ambazo hazina faida kwa wananchi. Ni sawa na mtu anaenunua gari alafu analala njaa.
We jamaa unachekesha.
Unaleta ripoti ya miaka ilopita??
Sasa hivi 70+% ya bajeti yetu tuna finance wenyewe kijana nyingine ni mkopo sio grants or aids tena.
Tutajie mradi Kenya mliojenga kwa pesa za ndani 100%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…