chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Wakundustan wenzio wanasikia an opera wakati tunaongea, respect the OGz"Kiswahi haujui" ni Kiswahili sanifu sio? π π π
Usinililie mm tafadhali, hakuna mtu anajua talanta ni nn ukiacha Talanta ya kwenye Bible.Hakuna kitu Kama Nairobi stadium na wala hatuna render hio, msitoe vitu matakoni mwenu na kutupachika
Ipi?Negotiation stage
Akili yako ndogo Sana wwπ€£π€£π€£π€£π€£The guy quoted your incompetent ministry, usiwe pumbavu we choo boy.
Kwan expressway au SGR mulikua na negotiation stage πππππNegotiation stage
Unanikosoa .? ππ mimi ni mjuzi wa lugha I can use it whoever that I want, naeza kutumia formal language or informal language vile nataka mimi ikue ππ."Kiswahi haujui" ni Kiswahili sanifu sio? π π π
Tuna projects ambazo hamtokaa mzijenge na bado tupo B1, hivi mamikopo yote mliyoyachukua mliyapeleka wapi na hamna mbele wala nyuma?Kwanza tueleze kwanini 40% ya budget yenu ni misaada. Jibu ni kwamba zile vipeni mnakusanya mnanunua ndege na treni za mtumba ambazo hazina faida kwa wananchi. Ni sawa na mtu anaenunua gari alafu analala njaa.
''I can use it whoever that I want.'' π π π Wewe nyamaza tu.Unanikosoa .? ππ mimi ni mjuzi wa lugha I can use it whoever that I want, naeza kutumia formal language or informal language vile nataka mimi ikue ππ.
Wewe unaweza.?
Toilet boy naongelea stages tofauti huyo mwenzio amefikia negotiation wee bado uko denialKwan expressway au SGR mulikua na negotiation stage πππππ
Hamuna pesa ya kujenga SASA KAZI hio muachieni mchina afanye yake alaf baadae sasa mutajua hamjui
Hayo ma projects ndio sababu 40% ya budget yenu ni misaada. Unanunua vipi ndege alafu wanafunzi Dodoma wanautapia mlo. Wanafunzi wa Tanzania wamejaa kenya kwa sababu hamna hela za kuwasomesha ilhali Kenya masomo ni bureTuna projects ambazo hamtokaa mzijenge na bado tupo B1, hivi mamikopo yote mliyoyachukua mliyapeleka wapi na hamna mbele wala nyuma?
View attachment 2942639
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1771518852158939161?t=ajry_bI5JGYkCMZ0hqBP3g&s=19
Unanikosoa.? ππ Imagine mimi kukosolewa na wewe, natamani kungekua na option ya kuweka sauti humu ili kuanzia leo na kuendelea tusibishane na nyie tena kuhusu lugha.''I can use it whoever that I want.'' π π π Wewe nyamaza tu.
Wazee wa kujipa umuhimu? Kwamba tunajustify budget? Unadhani sisi mafala?
Mbona ni empty talks kila siku? Leta hiyo source inayosema bajeti yetu inategemea msaada 40%.Hayo ma projects ndio sababu 40% ya budget yenu ni misaada. Unanunua vipi ndege alafu wanafunzi Dodoma wanautapia mlo. Wanafunzi wa Tanzania wamejaa kenya kwa sababu hamna hela za kuwasomesha ilhali Kenya masomo ni bure
Nani akulilie maskini wakutupwaUsinililie mm tafadhali, hakuna mtu anajua talanta ni nn ukiacha Talanta ya kwenye Bible.
Wao ni taifa lenye halina muelekeo kwahyo akhera hawapo, duniani wanatafutwa ππAlafu hawa ndugu kuna sifa moja ya kama taifa wanakosa, wanasimama wapi? Maan kila kitu ni bomu.
Utaifa wamejiita wazungu weusi
Kijamii Wanabaguana kwa misingi ya kikabila.
Uchumi full makaratasi. Imagine uchumi wa superpower unashangilia render?
Yaani kiujumla hayaeleweki.
Nchi yoyote inayojielewa haina haja ya kushobokea vya nchi nyingine kua ni vyao kutafuta sifa tena bila aibu.
Scroll page za nyuma kwa huu uzi ama ingia google.Mbona ni empty talks kila siku? Leta hiyo source inayosema bajeti yetu inategemea msaada 40%.
Neither are you.Absolutely, you are not a footballing nation.
Hio ni obvious haina haja umkumbushe. Ranked 119 world wide and that is their best sportπNeither are you.