We defeated Asian Champions Qatar and even played a draw against Russia, hakuna kitu unaniambia wewe. 😂 😂 😂 Wasindikizaji hamjui kushinda international games.We na mwenzako mnakuaga mafala.
BULGARIA 83rd kwa fifa ranking.
Unawaitaje mafala?
Kuna wachezaji wanaocheza Paok,Leeds mpaka leicester.
Unawaitaje mafala??
Wakati mwingine kuweni na akili msiropoke.
Imagine sasa camera za AFCON zina zoom hayo mauswazi hapo pembeni. Hii tournament tungewachiwa manake huyu jirani atalutea aibu EACWanataka kulinganisha huu utopolo na Bukhungu. 😂😂😂
Ww mwenye kujua mpira mpaka SASA hvi munashiriki mashindano gani ya mpira?🤣🤣Sisi tunajua mpira, kumbafu wanafungwa na Bulgaria
Asa katika timu ya mpira Qatar nayo team??We defeated Asian Champions Qatar and even played a draw against Russia, hakuna kitu unaniambia wewe. 😂 😂 😂 Wasindikizaji hamjui kushinda international games.
Niite tuonge ile siku mutashinda mechi yenu ya kwanza AFCON. Siwezi poteza time na losers.Asa katika timu ya mpira Qatar nayo team??
😂😂😂😂😂 Muone huyu matako anaongea nini.
Russia mlicheza na team B mnajisifu kucheza na kikosi cha pili??
😂😂😂Akii we ni matako.
Hata sisi tuli draw na ALGERIA ambaye kwa fifa rank yuko juu ya hizo team zote ulizotaja,je unalizungumziaje???
Fala wewe.
Jipe kazi ya kujilisha pia. Sio vizuri mwanaume akilishwa na bibi. Tafute kazi upate pesa mzuri hili uache kutukanwa hapa kila mara ati wewe ni maskini.Nikimaliza iftar nitajipa kazi ya kupost hotels
Bleeeeh bleeeh bleeeeh bleeeeh bleeeeh.Niite tuonge ile siku mutashinda mechi yenu ya kwanza AFCON. Siwezi poteza time na losers.
BRT inajwngwa nyerere road, hii hapa niliyopost ni Lindi street.We nawe wachaga ubishi wa kitoto, hapo kuna BRT kama unabisha nitapiga mwenyewe picha cku nikipita hapo au wadau watakupigia picha, Tanzania sio Kenya.
Asa we unabisha nini?BRT inajwngwa nyerere road, hii hapa niliyopost ni Lindi street.
Leta BRT map ya lindi street BRT under construction , danganya mtu mwingine boss sio mimiView attachment 2941953View attachment 2941952
Hizo ni sehemu mbili tofauti msee I know because i took the pictures myself
Atakwambia waliwahi mfunga Qatar akati hata sisi tuliwahi mfunga Morocco ambaye kiviwango vya Fifa yuko mbali sanaaa.Mpaka tumefikia hapo ujue tumefanya KAZI kubwa Sana nyinyi hamupo hata kwenye hayo mashindano machizi nyinyi😁😁😁
Bulgaria niya 80 kwa ubora duniani unafananisha na Kenya mwehu kabisa ww
Maneno meeengi bure. Jibu swali, umekubali hio ni lindi street, je, kunajengwa BRT lindi street? Ndio au la - simpleAsa we unabisha nini?
Huo mtaa wa lindi ukinyoosha unatokea Gerezani kariakoo pia katika huo ukuta nyuma kuna kituo cha basi cha mwendokasi cha gerezani.
Hiyo road imepata shurba ya magari ya ujenzi wa mradi na bado magari ya mradi mengi hukatiza hapo most of time kutobokea barabara ya machinga ambako BRT nayo inajengwa.
Acha ubishi.
Wewe ni fala.. you don’t even know your own history… before Mkapa became the new National stadium, Uhuru was the national stadium…infact that was the official name.. Uwanja wa Taifa …ask your father…🤣🤣🤣Uhuru stadium ni uwanja wa uhuru wewe.
Uwanja wa Taifa ni ule wa Mkapa.
Ishu hapa kuwa na uwanja,ninyi si mlisema mlianza na Kasarani sie ndio tukafuata?
Kitambo tulikua na Uhuru stadium tokea 1961.
Because the tournament needed a Universal points donor and Tanzania is the known donor.kama ni hivyo tuli qualify vipi AFCON 2023??
Kazi gani kubwa? Ama ya kupeana points?Mpaka tumefikia hapo ujue tumefanya KAZI kubwa
Unajionuesha tu mjonga bure, heri ungenuamaza. If Tanzania depends on you for a developer then I don’t even know why we are here 😂Mzee leo nimecheka sana. Website ya State wanatumia Wordpress.
Na hiyo ipo na users wawili:
"id": 1, "name": "admin"
"id": 4 "name": "State House"
NB: Nakusihi uwaambie IT wa kenya waache uzembe