Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia upost hile video ya Azam where they are using Digital TVs, ama unaogopa tena kuipost after nimekuambia wanatumia TV za kawaida?

Show us Tanzanian VAR room nataka kucheka kidogo.
 

Attachments

  • TikTok_7293429417047493893.mp4
    7.6 MB
Unajua sometimes mtu anawezadhani wakunya wote you faced malnutrition during your critical days of your development (early life )? . That significantly impaired your reasoning capabilities. Sasa who told you uwanja kujengwa 80s is an excuse for your stadium to look dull? Unajua old Trafford opened in 1910? Doesn’t it look modern than anything in Africa ? Akili mtu wangu, akili.
 
Wewe unajua old Trafford ilikaa aje 1910? Old Trafford imekuwa reconstructed mare nyingi Kwanza Hilo jengo la 1910 lilibomolewa lote WW2. Kasarani after renovation ndio itakua kiboko yenu maanake Talanta Sio size yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…