babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,414
- 36,004
Anafananisha uwanja watu wanakaa kwenye viti na uwanja watu wanakalia zege kama sio ufinyu wa akili ni nini. πππUmerogwa wewe.
Compare and contrast
Kasarani imepauka uwanja hView attachment 2940806View attachment 2940807View attachment 2940808View attachment 2940809auna hata taste bhanaaaaa!
Kasarani uliwekwa viti, msijifurahishe.Anafananisha uwanja watu wanakaa kwenye viti na uwanja watu wanakalia zege kama sio ufinyu wa akili ni nini. πππ
Usidhani sisi Wajinga, Low income areas in Dar look like this.Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
20. Low Income Neighborhoods
Tandale vs Kibera (Watu wote tuanze kucheka sasa π€£ π€£ π€£ π€£ )
Tandale
View attachment 2940829
vs
Kibera
View attachment 2940830
Unaugua wewe.It is slightly better ndio maana nimeipea 59% na nikapea Kasarani 50%. Talanta however is in its own league. Talanta unaweza upeleka hata Europe na bado utakuwa among the best stadia. Hiyo Mkapa yenu hata haugusi Amahoro ya Rwanda.
Picha ya juu ni sokoni TENA SOKO LA ZAMANI LA SAMAKI LA KIVUKONI.Usidhani sisi Wajinga, Low income areas in Dar look like this.
Picha za 2010. More than decade π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ We are talking about 2024Usidhani sisi Wajinga, Low income areas in Dar look like this.
Nimefunga ila ningemtukana fala huyu.Anafananisha uwanja watu wanakaa kwenye viti na uwanja watu wanakalia zege kama sio ufinyu wa akili ni nini. πππ
Halafu hiyo pic ya juu ni maeneo ya sokoni sio makazi ya watu.Picha za 2010. More than decade π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ We are talking about 2024
Tandale 2024 ipo hivi kwa sasaUsidhani sisi Wajinga, Low income areas in Dar look like this.
Bwabwa huyo ajielewiKama kasarai ni level ya Mkapa mbona Kasarani haina HADHI YA CAF WALA FIFA??
KWanini mataifa mengi mwaka jana yalichagua Mkapa kuchezea Afcon qualifiers na sio Kasarani??
HATA aibu huoni kufananisha Mkapa na kasarani??
Umedata wewe
Wacha nikueleze polepole uelewe.Unaugua wewe.
Uwanja wenye design kama turubai la mpira??
Mkapa ni bora kuliko hiyo Talanta.
Sijaona cha ajabu kwenye hiyo Talanta zaidi ya shape kama Turubai la msiba.
Europe hakuna viwanja vilivyokaa kama maturubai ya msiba kama wa Talanta.
Kuwa na adabu.
Umaskini tupu
Talanta only exists in your heads. What match has ever been held in Talanta stadium? π€£ π€£ π€£ π€£Wacha nikueleze polepole uelewe.
1. Talanta exterior is covered with self cleaning ETFE Membrane, Mkapa exterior is ugly concrete AKA Zege.
2. Talanta has folding seats, Mkapa has fixed seats.
3. Talanta has a parking for 3000 vehicles, Mkapa has a parking for 600 vehicles.
4. Talanta is purpose made with no running track inside the stadium giving a better football atmosphere, Mkapa has an ugly running track making the stadium wider and fans seat further from action.
5. Talanta has a fully covered fan section with an extention of transparent ETFE completely protecting fans from rain, Mkapa is almost 70% open.
6. Talanta is way more beautiful.
Tuseme Google maps pia ni ya zamani ama?Picha ya juu ni sokoni TENA SOKO LA ZAMANI LA SAMAKI LA KIVUKONI.
Picha ya pili Tandale na sasa hivi hakupo hivyo maana wamejenga barabara na wameanza jenga mifereji ya maji taka.
Usituletee picha za kitambo hicho.
Wewe unafananishaje Talanta na Mkapa? Kwanza nieleze huo Mkapa umeshindia Kasarani nini?Nimefunga ila ningemtukana fala huyu.
Unafananishaje Mkapa na Kasarani??
Hajielewi huyu.
The Talanta is not there. Kasarani old design Stadium. The Benjamin Mkapa stadium is modern.Wewe unafananishaje Talanta na Mkapa? Kwanza nieleze huo Mkapa umeshindia Kasarani nini?
The two are more similar than Mkapa to Talanta. If I was to grade them, Talanta gets 95%, Mkapa gets 59% and Kasarani gets 50%. That's why nimekwambia Mkapa rika lake ni Kasarani, sio Talanta.
Palepale mkuu ππππ
View attachment 2940860