Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizo ni hiace ulizoziona kando ya brt we kenge? juha kabisa.
 
Now they are small vans!
Not Hiace anymore!?🀣🀣🀣
Mnachekesha sana watanzania Kwa kupenda ubishi za kijinga
wewe ni zwazwa kwa hio civilan caravan ndio kama hicho kipayahttps://images.app.goo.gl/qPz1ininPYZmBArD9 iangalie hapo
 
That's a Nissan bongolala. It's not a Toyota. Toyota and Nissan are two competing brands so one can't be the other. Wajinga wapo wengi Tanzania
Ww hujawai kua na akili 🀣🀣🀣🀣🀣
Toyota hiace unaita nissan caravan Yani inaonesha jinsi gani hujui hata magari chizi wewe, hebu tizama hio picha ya nissan inafanana na hio van uliopost
 
i didnt know they were this desperate.But can tanzania afford it....hahaha.Hawa si watacollapse nchi kwa sababu ya self esteem issues
We mpuuzi, Eti Can we afford? It seems huko hamna ubongo wala kumbukumbu.

Kama JNHP, SGR, BRT, AIRPORTS, NDEGE ZAIDI YA 10+ MPYA na Miradi mingine imefanyika at the same time.

Ndio kauwanja ka $80m kacollapse uchumi?

Kwama miradi ya $500m mpaka $10+Billion. Imeshindwa kacollapse na ndio kwanza tupo vizuri.

Na unakuta wapuuzi wenzako wanachekelea, au una ID zaidi ya moja siamini wote mtakua wapuuzi wakati mpo humu kuona kila kitu.
 
Bongolala, hakuna siku Nissan imewahitengeneza brand inaitwa Hiace. Hiace ni production ya Toyota. The vehicle in the picture I posted ni Nissan, not a Toyota. Mbona mambo rahisi mnaweka ubishi za kijinga?
Narudia kukwambia tena hii ni Toyota hiace na sio nissan caravan narudia kukwambia mara ya pili tena kondoo wewe 🀣🀣🀣
 
So all of a sudden the beats have changed after being humbled! So it's no longer a Hiace again?

Desperation jamani ni kitu mbaya sana
Narudia kusema hii ni hiace and not nissan 🀣

Huwez nifundisha kitu mm wewe
 
Wamepigwa pressure kuona Talanta ujenzi umeanza wakakurupuka. I can assure you, this stadium haitotumika AFCON. Yani stadium ilaunchiwe Dar halafu ijengwe Arusha?🀣 🀣 🀣
You guys are scaring me, the amount of ignorance you are displaying inasikitisha.

Na pressure ya Talanta? Mnajipa umuhimu msiokuwa nao, Hata kabla hamjaja na Render zenu za kifala, Arusha ilikua set for AFCON Stadium, au unajitoaga akili humu?.
 
Tunawatu makini sana sema huwa wanajitoa ufaham angalia render yetu na yakwao mpaka wakasema bora ile ya zamani baada ya kugundua tumewapiga BAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…