Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Running track ya kazi gani kwa nchi haijui anything to do with athletics.
Mko na ushamba sana
Uwanja kama huu wenye running track kwa mkoa wa Arusha ni kitu kizuri sana. Umekaa kimkakati sana, hasa katika masuala ya utalii. Msishangae kuona international sports nyingi zinazoshirikisha EAC, Africa au Dunia nzima zitakuwa zinafanyika hapo Arusha.
Mnacheka uwanja una running track, wakat sisi tuna mikakati yetu
 
Nimemskia yule ndumbaro akisema pembeni ya huu uwanja kutakua na museum ili kulifanya hilo eneo kuwa busy wakati wote hata baada ya michuano ya Afcon na mechi za mpira wa miguu. πŸ‘‡ Probably ni hilo jengo linaonekana close to football pitch πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…