Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muda haugandi mzee, barabara ya kutoka airport hadi town sahii inakula BRT, 😂😂😂 Yani kila unapotia pua unakula chuma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20240123-003042_1.jpg
    218.1 KB · Views: 31
  • Screenshot_20240123-002843_1.jpg
    233.1 KB · Views: 20
Wewe hata unajua gari ni nini? Before nitaje jina ya hiyo gari ulijua hata ni gari gani?

Alafu unatuekea blog hapa. Jinga sana.
 
Hile Northern Bypass ya Kibera is better than hiyo barabara from JNIA to Dar town.

Baadala wajenge barabara hao wako hapa wanapiga kelele.
 
Hile Northern Bypass ya Kibera is better than hiyo barabara from JNIA to Dar town.

Baadala wajenge barabara hao wako hapa wanapiga kelele.
Wanasema inawekwa BRT, sasa BRT itabadilisha majengo uchwara? BRT itaweka footbridges? BRT itaongeza urefu wa barabara? Interestingly hiyo video niliyopost ina sehemu zinazojengwa BRT lakini kawaida kijana mdogo hana bando la kuwatch video. 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…